Nijibuni wakuu

Nijibuni wakuu

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] una nini lakini wewe?
20221222_183930.jpg
 
Habari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wiki mbili then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day. Je, alipopata mimba itakuwa ni yangu?
Ujinga mtupu tukujibu nini na wewe jina lako linajieleza wewe ni nani?

Hilo swali la huyo mwanamke waulize wazazi wako
 
Habari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wiki mbili then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day. Je, alipopata mimba itakuwa ni yangu?
Ni vyema kutufahamisha, ulijuaje hiyo ni dangerous day kwake kwanza?

Ili wote twende tukiijua kuwa kweli alikuwa kwenye dangerous day.

Kama ni kweli alikuwa kwenye dangerous day na hakutoka kwako basi hakuna swali tena la kujibiwa hapo. Kazi ya mikono yako itakuwa imetimia.
 
Back
Top Bottom