Micky55 Member Joined Sep 2, 2016 Posts 69 Reaction score 50 Jan 14, 2018 #1 Kwa wale wataalam naomba ufafanuzi nini cha kujaza kwenye hii picha Nataka kuconnect internet kwa kutumia line ya TTCL
Kwa wale wataalam naomba ufafanuzi nini cha kujaza kwenye hii picha Nataka kuconnect internet kwa kutumia line ya TTCL
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,258 Reaction score 2,197 Jan 14, 2018 #2 Micky55 said: kwa wale wataalam naomba ufafanuzi nini cha kujaza kwenye hii picha nataka kuconnect internet kwa kutumia line ya TTCL Click to expand... Cha kujaza hapo ni 1. Name: All In One 2. number: *99# 3.Apn: internet Mengine hachana nayo
Micky55 said: kwa wale wataalam naomba ufafanuzi nini cha kujaza kwenye hii picha nataka kuconnect internet kwa kutumia line ya TTCL Click to expand... Cha kujaza hapo ni 1. Name: All In One 2. number: *99# 3.Apn: internet Mengine hachana nayo