Pocahontas
Member
- Jan 30, 2019
- 46
- 49
- Thread starter
-
- #61
Shukran kwa mawazo yako ila nikujulishe tu tangazo langu linajieleza wazi kabisa kua walengwa hapa ni WATU WENYE FAMILIA au hata kama upo single basi unatarajia kupata wageni flan basi unaniita nakupikia au shughuli flani unaniita nakupikia, lakini kama chakula ni cha mtu mmoja hata mimi nashauri uende tu mgahawani sababu siwezi kupika kwa bei ya mgahawa.kupika chakula cha mtu mmoja ni gharama zaidi ya kwenda kula kwa mgahawa/restaurant, kuanzia maandalizi , mahitaji , kuosha vyombo , aaarrrggghhhh shit. hii project yako sioni ikiendela labda u switch to someone else wife . good luck though
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh yeeess!!Oooh! i smell love lovie dovieee, [emoji177][emoji177]
Siku ya kutembeleana niiteni niwapikie msosi mtamu mle mshibe.
i bet itakua on valentine day.
your wish is my command,Na mimi nimeliafiki honey,
Ila siku nyingine,ningependa nikupikie mwenyewe 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Mzee baba naona umelainika leo[emoji2]Haleluyah Becky wangu wa kufa na kuzikana!
Na,ze furaha izi resiprokali myucho kipenzi![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Na wewe unataka kupikiwa babyDada ungejaribu kuweka na gharama ya baadhi ya service ili wengine tujipime kama tunakumudu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂
Unajua kutengeneza kichuri + nyama choma?Wapendwa habari zenu,
Napika chakula majumbani,
Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie,
Kama una tamani familia yako ingepata lunch au dinner ya aina fulani wewe niite nikupikie.
Napika vyakula vya aina zote kwa bei nafuu sana.
Napatikana Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano 0745438007.
Karibuni.
[emoji23][emoji23] da! wazee wa fulsa umeshaingia mpaka whatsapsema nini,
ile picha Whatsapp inakata stimu kishenzi![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
nlienda kuangalia kama ameweka picha ya madikodiko nithaminishe!!
Uongo kiwango cha KimataifaUmenifanya nilie zaidi ya bwana Pilipili[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji9][emoji9][emoji9]
nami nakuahidi hatua-do mpaka tukishaoana sababu,
NAKUPENDA ZAIDI![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Teh..Nipo kiongozi..Asali hawazifuniki siku hizi..Au Rebecca bado anafunika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mwana mpotevu,umefichwa sana buddah!
afu kwanza niandalie vifuniko vya asali vya ukweli![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]