Niite basi remix

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
399
Reaction score
148
Kuna baadhi ya maneno kwenye chorus huwa siyaelewi sijui waliimba nini. Ni remix ya niite basi, imeimbwa na wakali kwanza
....niite basi mpenzi uwe wangu, nikakutambulishe kwa ndugu zangu, shida zako ulizonazo ni za kwangu, sema sema sema niite basiiiiii, wanatamani me nishuke niwe chini yao, sauti yangu me ni kali kushinda yaoooo, ......BLESS ZA JAAH, KAMA BABA NDO AMETUPATIA, BARAKA AMETUJALIAAAA
Hapa kwenye herufi kubwa huwa napabahatisha kiukweli
 
muhusika sasa hv mla ganja mzuri sana..
 
Hii Waliifanyaga Remix Kwa Kuchukua Mdundo Mpya Wakatia Mashairi Ya Niite Basi Ya Josline Na Wanatamani Ya Makamua Na Kila Mmoja Akaimba Chorus Ya Mwenzie Na Mashairi Kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…