sprint ni mtandao wa marekani hapo ni kama umeandika huawei ya tigo.
na refurbished ni simu ambayo iliharibika ikarudishwa kiwandani wakairepair. refurbished ni nzuri kuliko used.
unaweza ukaipata ikawa locked vile vile inaweza kukusumbua mambo ya ku unlock.