pasikulola
New Member
- Sep 4, 2015
- 3
- 0
Salamu kwenu nyote. Kama mada ilivotambulishwa, nina ukakasi wa kuamua kuishi mjini au kijijini, hasa katika kipindi ambacho nataka kutulia sehemu moja itakayokuwa makazi yangu ya kudumu. Mimi ni mwajiriwa serikalini.
Tafadhali karibuni kwa michango yenu pande zote mbili.
Tafadhali karibuni kwa michango yenu pande zote mbili.