Nilijua chief hautakosekana Ila unavyosema mwisho wa Google unauona camini juh ya Hilo Khomeini nikutajie software za Google zilizompiga bao Microsoft chrome IPO jiu ya ie picasa IPO huh ya photoviwer ya Microsoft adroid vs windows 7 mobile csjua.coz cjawah kutumia window 7 mobile Ila ukiangalia cmu nying zna mkataba na adroid os turudi JFK search engine googlrtsearch ni bora Mara mia Julio bing halo bado cjagusia googlearth wale socialnetwork inayokuja juu ya g+
mwanzo google na microsoft walikua kama patner kila mtu anafanya kivyake kuuweka ulimwengu wa technologia kuwa safe place ila siku za karibuni kumetokea conflict nyingi za ki interest kwa kampuni hizi ndio mana kila mmoja anataka kumpiku mwenzake kwa vitu ambavyo microsoft ameanza sku nyingi google hamfikiii microsoft mfano operating system za pc software kama ms word na vyenginevyo, same upande wa google kuna vitu kavianza sku nyingi microsoft hamfikii mfano google search na maps.
lakini mkuu huoni game linachange???
1. tuanze na search engine hakuna ubishi kua google ni ya kwanza kwa search engine lakini je hebu tuangalie market share inasemaje google december 2010 alikua na 66.5 mpaka mwezi wa sita mwaka huu ana 66.6 asilimia so kuna ongezeko la 0.1 wakati bing alikua na 13.6 na mwaka huu ana 15.6 ongezeko la 2 asilimia. so unaona nani anaongezeka sana
zamani ukiwa na portal na kutoa email service unapata watu wengi wa kusearch mfano yahoo na aol sku hizi mambo yamechange samsung htc huwei bla bla bla motorola blabla xiaomi malizia android zote zipo kimasilahi zaidi kuprefer google kuliko bing zilivyoundwa sasa microsoft nae katoa wp8 so wachambuzi wamepredict kutatokea huge boost kwa bing na windows 8 laptop naona zina kibutton cha search ukiminya tu upo bing faster so mambo yanachange mkuu.
2. tuje kwenye map. duniani kuna map kubwa 3 yaani google map, navtech na atlas. nkisema atlas ni maarufu bongo wana vitabu vya ramani aka yao ni tomtom ukipenda ilost map wazee wa ios6. tuachane na atlas tuje navtech vs google map. opss mesahau navtech ndio inayotengeneza nokia map ni kampuni ya my dear nokia
nokia alichofanya hapa ni kuifanya navtech kua open source yani cha wote kila mtu atumie database yao even google map zamani walikua wakitumia navtech so hapa nokia akapata mapatner wengi wakiwemo oracle (alodhulumiwa na google) amazon kindle fire (android yenye nokia map) bing map ya microsoft, asilimiaa 80 ya magari ya dunia ikiwemo bmw, volkswagen, toyota na wengine wengi (msishanngae ailimia 80 ya magari ya dunia yanatumia nokia map)
eti mkuu android nazo zimeanza tumia nokia map is it good sign kwa google? na juzi nokia parking imezinduliwa so asilimia ya mapatner wa navtech inategemewa kuongezeka zaidi
3. twende software "KO" mtu mzima google katoa google docs kucompete na microsoft office ila microsoft akamjibu na skydrive ilikua ni kama ko maaana alipitwa features zote google take ur time google kuhusu hii ishu ndo utajua kwa app google bado cha mtoto hapa kuna ishu nyingi nyingi ila kuna jamaa ana makala yake inaitwa the empire strike back ameelezea vizuri jinsi microsoft walivokua wanajijenga kwa kuwahadaa watu na vista na window 7 wao wakijijenga kwa windows 8 uone kichwa ozzie alivofanya mambo yake
Microsoft vs. Google: The empire strikes back | Windows - InfoWorld