Nihuzuni! Mama atapeliwa Msamvu Stendi na mpiga debe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi laki Moja na elfu kumi na Mbili katika kituo Cha mabasi Msamvu na mtu aliyefahamika kwa jina Moja la Mussa akidai kuwa yeye ni Wakala wa Mabasi yaendayo Mlimba Chita Wilaya ya Kilombero.

Mama huyo amesema kuwa alipofika katika kituo hicho alipokelewa na kijana huyo kisha kukatiwa tiketi nne na kutakiwa kutoa Fedha hiyo na mara baada ya kutoa akatokomea kusikojulikana na kuwalazimu kulala nje na watoto wake.

Dawa moja tu fukuza wapiga debe wote stendi hiyo

Tiketi zote zikatwe dirishani
 
Serikali ipige marufuku mabasi yote maenda toka mkoa mmoja kwenda mwingine tiketi lazima zikatwe kwa mtandao au mashine ya tiketi

Mabasi yote ya kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa au ndani ya wilaya zikatwe ndani ya basi sio nje ya basi
 
Serikali ipige marufuku mabasi yote maenda toka mkoa mmoja kwenda mwingine tiketi lazima zikatwe kwa mtandao au mashine ya tiketi

Mabasi yote ya kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa zikatwe ndani ya basi sio nje ya basi
Tumelichukua wazo lako tutalifanyia kazi.
 
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi laki Moja na elfu kumi na Mbili katika kituo Cha mabasi Msamvu na mtu aliyefahamika kwa jina Moja la Mussa akidai kuwa yeye ni Wakala wa Mabasi yaendayo Mlimba Chita Wilaya ya Kilombero.

Mama huyo amesema kuwa alipofika katika kituo hicho alipokelewa na kijana huyo kisha kukatiwa tiketi nne na kutakiwa kutoa Fedha hiyo na mara baada ya kutoa akatokomea kusikojulikana na kuwalazimu kulala nje na watoto wake.

Mussa majina ya wale wale upande wa pili kobaz.

adriz hydroxo Makonde plateu Adiosamigo gallow bird Tanganian
 
Unauliza majibu? Wasukuma wamezubaa sana, na liko likijana likubwa liko km zombie mamake anaibiwa huyo ht yeye anaweza kuibiwa
Kuzubaa sio sifa kuwa mtu anastahili kutapeliwa

Kizaa zaa kitakachotokea hapo stendi ya Msamvu sio cha kitoto kwa kutapeli huyo aliyezubaa

Wapiga debe wote wakatafute njia zingine za kupata riziki hiyo stendi ndio basi

Ujanja wao utawatokea puani wote
 
Back
Top Bottom