Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

samaani sana maji ya ngudu, katika kanisa nirifunzwa nisikere watu na asira ni pepo baya hukiwa na asira ina mana una pepo baya. jitahidi kupuguza asira usikereke na mambo ya duniya yanayoyeza kutupa dhambwi mbel ya mungu?
Sio kila hasira ni pepo ndugu yangu hata Yesu alikasirika na Mungu anakasirika.
 
swali..

umeingia JF juzi na hadi sasa una thread 203 yaani wastani wa posts 68 kila siku...hapo dukani kwa Muhindi unafanyaje kazi.!?

wewe ni mlinzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom