Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

blackstarline maskin na fukara navojuwa maskini ni yure ambaye hana huwezo wa kuyapata maitaji yote muimu hira akijishungurisha atawenza kujikwamuwa kwenye umaskin wake hila fukara yeye anaweza kuwa ni yure maskini dalaja ra mwisho ambae hawez kupata ata hitaji rorote muimu la muanadamu.
 
~nikikuita 'ngula'... je nitakuwa nimekukwaza.!?

~mbona mabandiko au Uzi ama thread zako unakosea sana spelling.? unafanya makusudi?

~na je umejaribu kuandika kwa ufasaha ukashindwa?

~je umewowa..kama ni ndio; unaingizaga mbere au kwa Amber Ruth.!?
 
Nirisoma adi darasa la saba hila najuwa mambo mengi kuusu maisha. nakalibishwa masuali yenu. nivumiliaenani katika muwandiko wagu piya na ware ambawo wanakasirika nisameeni sana.karibuni?
Nimekuerewa iwe....mwanzo niritaka kukasirika, niripojuwa ni wewe nikakuerewa....
Naomba uniereze, unaishije? Hiro ni swari, nijibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom