The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,437
Hamia kwenye nyumba yako ya milele.Huko hautapata mahangaiko ya distributions kabisa.Na tutaandika "APUMZIKE KWA AMANI"!Wakuu habari..
Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .
Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.
Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,
Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..
Nenda Morogoro ndani ndani, Arusha ndani ndani, Iringa ndani ndani, Tanga ndani ndani, Mbeya ndani ndani.
Yani mwanangu mjini hapa kila point hela *****Apoo badoo haujauziwa mbususu mkuu.
Hapo bado haujatuma nauli na yakutolea halafu hajiWakuu habari..
Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .
Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.
Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,
Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..
Utatukana matusi yoteHapo bado haujatuma nauli na yakutolea halafu haji
Hivi kati ya mpanda na rukwa wapi kuna fursa?Rukwa, wilaya ya Sumbawanga.