Doyyi
Member
- Mar 9, 2014
- 61
- 36
Baada ya ving'amuzi vingi kuzingua niliamua kununua continental ila sasa nao ni pasua kichwa. Hawako hewani takriban mwezi sasa, nikiwapigia hawanijibu (wananiwekea miziki tu). Mbaya zaidi ni kama wamenisubiri nimelipia kifurushi siku ya nne tu wakakata chaneli mpaka leo kimya. Jamani kwa wanaotumia continental, vp hali kwenu au ni king'amuzi changu tu? Naomba ushauri pia kwa wote kama ni kuwahama king'amuzi gani angalau kiko vizuri nihamie. Maana nakosa kabisa lengo la kuwa na Tv, wameshanisumbua mara nyingi tu mara wanafuta chaneli tu bila taarifa......yaani shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app