Nihamie king'amuzi gani wadau?

Nihamie king'amuzi gani wadau?

Hapana serikali iko sahihi kabisa kwani sheria inasema TV zilizosajiriwa nchini zenye leseni ya kitaifa ni free kwanini watuuzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwann walitutransform kutoka c band ambayo nayo ni digital wakatulaghai laghai tukaingia universal kumbe wanajua wanataka nini...je tokea 2011 walikuwa wapi kiwa zuia wanasubiri kipindi ambacho hatuko vizuri kisiasa...we unadhani si wananchi tunahisi nini kama sio kumhisi jiwe

Iko hivi mfumo mpya nikua muandaa vipindi(TV) na mrusha maudhui ni mwingine mfano mwenye kisimbuzi kazi yake kurusha tuu hivyo leseni ziko mbili za pay tv na local ishu ilikua kusimamia sheria kwani hakuna kilichobadirika.

wananchi maelfu washa purchase bila kujua..nani alaumiwe hasara hii..sasa saiv zaid ya 70% hatujui yanayoendelea labda kwa redio ila ya nchi jiran ndo tunajua...
kwa mfano azam ndo inaongoza tz kwa watumiaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni leseni hapo kwani paytv haruhusiwi local tv kwa sasa rabda mabadiriko ya sheria kumbuka wenye kuonesha local tv wamewekeza mitambo kwa gharama kubwa hata leseni yao wao wanalipa kodi kubwa kiliko pay tv
wananchi maelfu washa purchase bila kujua..nani alaumiwe hasara hii..sasa saiv zaid ya 70% hatujui yanayoendelea labda kwa redio ila ya nchi jiran ndo tunajua...
kwa mfano azam ndo inaongoza tz kwa watumiaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom