Nihamie king'amuzi gani wadau?

Nihamie king'amuzi gani wadau?

mbona local channel zinapatikana kwa antena tu, mfano kwangu naona itv, eatv, capital tv, channel ten, star tv, clouds tv, e tv, tbc, citizen tv, africa swahili tv, al jazeera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya ving'amuzi vingi kuzingua niliamua kununua continental ila sasa nao ni pasua kichwa. Hawako hewani takriban mwezi sasa, nikiwapigia hawanijibu (wananiwekea miziki tu). Mbaya zaidi ni kama wamenisubiri nimelipia kifurushi siku ya nne tu wakakata chaneli mpaka leo kimya. Jamani kwa wanaotumia continental, vp hali kwenu au ni king'amuzi changu tu? Naomba ushauri pia kwa wote kama ni kuwahama king'amuzi gani angalau kiko vizuri nihamie. Maana nakosa kabisa lengo la kuwa na Tv, wameshanisumbua mara nyingi tu mara wanafuta chaneli tu bila taarifa......yaani shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
DSTV
 
Star times ndio bora kabisa, changu nilinunua 2012 , napata local channel bure itv, eatv, channel ten, star tv, na tbc 1, natumia kile ki antena cha ndani hakina usumbufu hata mvua iwe kubwa vipi, ila tv 1 hakuna walitoa mwaka jana, unaangalia epl bure kabisa kupitia eatv wakishirikiana na tv1, karibu star times hutajuta
 
Baada ya ving'amuzi vingi kuzingua niliamua kununua continental ila sasa nao ni pasua kichwa. Hawako hewani takriban mwezi sasa, nikiwapigia hawanijibu (wananiwekea miziki tu). Mbaya zaidi ni kama wamenisubiri nimelipia kifurushi siku ya nne tu wakakata chaneli mpaka leo kimya. Jamani kwa wanaotumia continental, vp hali kwenu au ni king'amuzi changu tu? Naomba ushauri pia kwa wote kama ni kuwahama king'amuzi gani angalau kiko vizuri nihamie. Maana nakosa kabisa lengo la kuwa na Tv, wameshanisumbua mara nyingi tu mara wanafuta chaneli tu bila taarifa......yaani shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua Azam kwa kweli hata kama hakuna taarifa ya habari ni Bora Mara 1000, mimi sijaona Kingamuzi Cha maana kbs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom