files za kotosha within 1gb au hizo za kutosha ni gb ngapi?Mbona mi natumia muda wote.fanya hivi:ukishajiunga wajanja night jiunge na bando nyingne hata zile za cheka ya 499tsh.then ikishfika saa 12 kama gb yako haikuisha utaendelea kutumia mchana kutwa na utadownload files za kutosha tu
zantel unlimited ya mwezi 300, 000 hahahha hawa wapemba wanaakili hivi hivi vodacom unlimited yao ya 40000 ni full au nao gb 2 speed inashuka
hahahahahahaaaaaa dah! shukran mkuu hawa jamaa hawako serious kabisa na data business, miaka ya nyuma walikuwa wanasifika kwa spidi ila sasa i think ndo wako katika rank za mwisho.. naona kiujumla bongo data ishakuwa ishu ngumu, hivi airtel bado wanauza Gb1 kwa ile bundle ya 1000???
dar zantel wana speed kuliko mtandao wowote. kujua speed ya mtandao usitumie na kifurushi tumia vocha then nenda speedtest. minimum speed nilikua napata 4mbps.
Yaani saa 12 asubuhi hujamaliza 1GB?Then ikishfika saa 12 kama gb yako haikuisha utaendelea kutumia mchana kutwa na utadownload files za kutosha tu
kaka unaelewa maana ya minimum? sasa 8mbps chamtoto sababu zantel kuna ushahidi wa 13mbps
Mkuu sidhani kama speed hiyo wanaiachia kwenye vifurushi
Labda utumie bila kifurushi
lina maana pana.
-unlimited browsing
-unlimited download and browsing
-unlimited speed
kuna unlimited nyingi. kuna bundle zina speed 2kbps lakini ni unlimited data japo speed mbovu.
inabidi wewe mteja ndio ujue unahitaji nini
correction: sio wapemba ni wahindi ndio wapangaji wa zantel. tena wahindi wa kununuliwa toka india.zantel unlimited ya mwezi 300, 000 hahahha hawa wapemba wanaakili hivi hivi vodacom unlimited yao ya 40000 ni full au nao gb 2 speed inashuka
hizo ni lugha za kibiashara tu. za kudanganya wateja. unlimited maana yake ni unlimited kila nyanja. kuanzia speed, browsing hadi downloading.
ukiweka kizingiti tu kulimit kitu maana yake tayari limited. sasa isp anakupa day unlimited browsing kisha akulimit kudownload au speed kisha bado iwe unlimited? it is limited to speed or any factor whatsoever
Yaani saa 12 asubuhi hujamaliza 1GB?
files za kotosha within 1gb au hizo za kutosha ni gb ngapi?