Kuna siku niliona kwenye Tv wanaburuza nyaya za optic kutoka baharini nikaamini watakuwa ndio ma ISP Wenye kiwano cha juu, nilinunua modem yao nikawa nina subscribe bundle ya unlimited kwa siku 3. Cha kushangaza, wakawa wanapandisha bei kila kukicha na mbaya zaidi speed inakuwa kubwa mwanzoni ukishadownload kama mb 500 tuu,m kichefuchefu kinaanza.speed kama ya konokono au kinyonga.
Mimi ninawashauri waboreshe huduma ya internete kwa bara watapata wateja wengi na visiwani wabakie na mawasiliano ya simu.Vilevile watengeneze menue ambayo ni userfriend ya kujiunga na bundle
Hivi unlimited maana yake ni nini!? Huenda silijui vizuri hili neno!
lina maana pana.
-unlimited browsing
-unlimited download and browsing
-unlimited speed
kuna unlimited nyingi. kuna bundle zina speed 2kbps lakini ni unlimited data japo speed mbovu.
inabidi wewe mteja ndio ujue unahitaji nini
Nimeupenda sana ufafanuzi wako, ila hawa wajomba hawafafanui kwenye matangazo yao ilitujue wanazungumzia kipi kati ya hivyo ingawa kipengele cha unlimited download najua haiwezekanilina maana pana.
-unlimited browsing
-unlimited download and browsing
-unlimited speed
kuna unlimited nyingi. kuna bundle zina speed 2kbps lakini ni unlimited data japo speed mbovu.
inabidi wewe mteja ndio ujue unahitaji nini
Nimeupenda sana ufafanuzi wako, ila hawa wajomba hawafafanui kwenye matangazo yao ilitujue wanazungumzia kipi kati ya hivyo ingawa kipengele cha unlimited download najua haiwezekani
Inabidi sasa turudi kwenye vile vitu vyetu vya zamani,ila humu ndani nadhani watu walishahamisha kambi,sioni kabisa watu wakipost ule ujuzi