Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
Ujawai kushuhudia Malaya akipigwa mtungoWakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili
Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha
Langu ni hili
Siku moja usiku wakati narudi home tokea kwenye harakati zangu maeneo ya ilala kwenye baa maarufu iitwayo miami nilikuta tukio la birthday likiwa linaendelea njee ya baa hiyoo nilipata muona. Dada mmoja akiwa amelewa chakari yaani hafai mpaka aanza kuto haja hapo hapo wenzie wakaanza kumwagia maji ili azinduke lakini wapi alimaliza haja zake hapo hazarani akiwa hajitbui. Kiukweli nilicheka sanaa ila baadae nilimuonea huruma pombe si chai.
Je lipi tukio ulilowahi lishuudia hikakuacha hoi au na mshangao
Hamna sehemu mbovu kuishi kama Dar. Labda ukatembee siku kadhaa urudi zako Arusha. Kanda ya Kaskazini ndio mahali sahihi kwa watu kuishi.Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
Nyoko na wew🤣🤣Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
Kama mtu hajawahi kufika Arusha akiwasikiliza nyinyi ataona sehemu ya maaaaanaHamna sehemu mbovu kuishi kama Dar. Labda ukatembee siku kadhaa urudi zako Arusha. Kanda ya Kaskazini ndio mahali sahihi kwa watu kuishi.
Kufika Arusha sio shida. Ukiishi utakubaliana na ukweli huo. Na ukifika Dar unaweza kudhani ni sehemu nzuri ila ukiishi utagundua ni sehemu ngumu sana hasa kwa wasio na jaxKama mtu hajawahi kufika Arusha akiwasikiliza nyinyi ataona sehemu ya maaaaana
Kati ya mikoa ambayo huwezi kunishauri kuishi ni ArushaKama mtu hajawahi kufika Arusha akiwasikiliza nyinyi ataona sehemu ya maaaaana
Acheni kujidanganya nyinyi.Kufika Arusha sio shida. Ukiishi utakubaliana na ukweli huo. Na ukifika Dar unaweza kudhani ni sehemu nzuri ila ukiishi utagundua ni sehemu ngumu sana hasa kwa wasio na jax
Ila tukubaliane kuwa hakunaga anaeona kwao kubaya. Japo kuna sehemu mbaya.Acheni kujidanganya nyinyi.