Nigeria's pastors 'as rich as oil barons'

]Marko, Chapter 10[SUP]10:25[/SUP] Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Ni Rahisi kuingia Ngamia katika Tundu ya sindano kuliko Wachungaji kuingia peponi.

Ni wapi katika hiyo aya pamesema hawata ingia mbinguni?
 
Biblia haijakataza mtu kuwa tajiri, kinacho-matter ni umeupataje huo utajiri na intentions zako na unautumia vipi. Kinachonifanya nijiulize maswali mengi ni pale mchungaji/pastor etc anapotumia mali/sadaka za kanisa kwa manufaa yake binafsi.

Sasa wewe ni nani kuhukumu hawa wachungaji? Je, unaweza kuleta ushaidi hapa, tuone wa jinsi walivyo na wanavyo pata fedha? Who are you to judge? Wapi katika Biblia panasema Wachungaji ni Maskini? Kwanini tusitumie aya za Biblia katika hii mada?
 
Hawa hawahubiri dini wanafanya biashara na si unajua zama izi watu wana lundo la matatizo!ukifuatilia wengi wanaponya kwa nguvu za giza!
 
Shetani hajawi kuponya mtu na wala hatoweza fanya hivyo. Biblia inasema kuwa the devil has come" KUIBA, UA, NA HARIBU".
 
Wajinga ndo waliwao: Hao wachungaji ni sawa na kina papaa msoffe, pedeshee ndama, papaa gwajima, pedeshee kakobe mukulu,papaa mzee wa pushback lusekelo.....nk
 
Kwa uelewa wangu banadamu hutajirishwa kwa mikono ya mtu mwingine. Ile Law of Labor ya Carl Max iko pale pale ingawa kwa mbinu tofatu. Hao wachungaji wa Nigeria kama walivyo wa tz kina Mwingira yale makanisa ni yao. Yao binafsi. Ni NGO zao zilizoandikishwa Wizara ya Mambo ya Ndani. Wana kipaji cha kuongea vizuri na ushawishi mzuri. Wanaanza ndani ya darasa la shule wanaishia kumiliki mashule, mabenki, vituo vya tv kwa pesa za jasho wenzao. Hawawaibii ila wanashawishi unatoa sehemu ya jasho lako.
 
Sasa wewe ni nani kuhukumu hawa wachungaji? Je, unaweza kuleta ushaidi hapa, tuone wa jinsi walivyo na wanavyo pata fedha? Who are you to judge? Wapi katika Biblia panasema Wachungaji ni Maskini? Kwanini tusitumie aya za Biblia katika hii mada?

Who am I to judge anyone? Only God can judge. Hayo ni maswali niliokuwa nayo na mwenye majibu ama hoja anaweza kunijibu. Tupo hapa kubishana kwa hoja au kupeana facts. Preacher anaposema leteni mali zenu na dhahabu zenu halafu yeye anaitumia hizo mali kwa manufaa yake ofcourse many question will linger.
 
Those are the facts I am waiting from you, when you demonstrated that Mega Church preachers are maliciously eating parishoners money, inter-alia, when you still insiting that preachers should be poor. Who told you that God is poor? If a preacher is employed by God, and God is Super Reach, why do you want God's workers to be poor?
 
The Bible preach about modesty and humility
 
Back
Top Bottom