Nigeria's pastors 'as rich as oil barons' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nigeria's pastors 'as rich as oil barons'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SirBonge, Jun 14, 2011.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Increasing numbers of Nigerians are attending independent church services, like this one in Lagos

  Nigeria's pastors run multi-million dollar businesses which rival that of oil tycoons, a Nigerian blogger who has researched the issue has told the BBC.

  Mfonobong Nsehe, who blogs for Forbes business magazine, says pastors own businesses from hotels to fast-food chains.

  "Preaching is big business. It's almost as profitable as the oil business," he said.

  The joint wealth of five pastors was at least $200m (£121m), he said.

  Mr Nsehe said the richest of them, Bishop David Oyedepo of the Living Faith World Outreach Ministry, was worth about $150m.

  Bishop Oyedepo owned a publishing company, university, an elite private school, four jets and homes in London and the United States, according to Mr Nsehe.

  'Private jets' The Nigerian blogger said Bishop Oyedepo was followed on the rich list by Pastor Chris Oyakhilome of the Believers' Loveworld Ministries. He was worth between $30 and $50m.

  "Oyakhilome's diversified interests include newspapers, magazines, a local television station, a record label, satellite TV, hotels and extensive real estate," Mr Nsehe said.

  He said three of the other richest pastors were:

  • Temitope Joshua Matthew of the Synagogue Church Of All Nations (worth between $10m and $15m);
  • Matthew Ashimolowo of Kingsway International Christian Centre (worth between $6 million and $10 million) and
  • Chris Okotie of the Household of God Church (worth between $3 million and $10 million).
  Mr Nsehe said representatives of all the clergymen, except Pastor Ashimolowo, confirmed ownership of the assets he had listed on his blog.
  "These pastors are flamboyant. You see them with private jets and expensive cars. This extravagance sends out the wrong message to their followers," he told the BBC's Network Africa programme.

  He said the pastors acquired their wealth from various sources, including their congregations.

  "We have Nigerians who are desperate, looking for solutions to their problems. They go to church for salvation, redemption and healing and pastors sometimes take advantage of them," Mr Nsehe said.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The joint wealth of five pastors was at least $200m (£121m), he said!!!!!
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ...tajiri kuingia mbinguni ni sawa na ngamia kupita ktk tundu ya sindano?
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Weye waamini Mbiguni au ahera?
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mbinguni.
  Tusiende mbali, kuna mega churches kila kona hapa Dar. Je ina maana hawa preachers wetu nao they are as rich as akina Rostam? Tuanzie pale Mikocheni kwa mama mbunge, halafu tusogee Sam Nujoma Rd, the list goes on.
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kuna kosa gani kuwa na fedha? Au nyie mmekatazwa na allah?
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ngoja nikachome ndizi halafu nitarudi
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha ha ha ha, okay, Mkuu
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Hakuna Mtu asiyejuwa kama hiyo kazi ya Pastor Uchungaji ni pesa duniani pote Wajinga ndio waliwao ni wizi wa hali ya juu na Binadamu anapenda kuongopewa palipo na ukweli uongo hujitenga Mapadri,Wachungaji , na hao wanaowafuata hao Viongozi wao ni motoni siku inakuja wamepotea na njia. Hao Wachungaji wanaongopea wanafunzi wao wa kilokole Eti wanaweza kufuta Madhambi yao wakati Bwana YESU Mwenyewe amesema hivi nanukuu ([h=2]Marko, Chapter 2)[SUP]2:7[/SUP] Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?[/h]
   
 10. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Just wonder what will our Lord Jesus Christ say about these extravagant pastors?
  Are you all that 100% sure that your pastors (especially the ones belonging to these mega churches) are that good and holy?
  I remember my grandfather telling me Jesus Christ rode on a donkey and not on an extravagant twenty horses pulled luxurious coach, Mercedes Benz or Range Rover.
  Why are these mega church pastors/preachers so extravagant wearing very expensive suits, driving expensive vehicles, living large and at the same time telling the members of their congregation to bring gold, jewelry, and all their wealth to the church. As I mentioned before kabla hatujaanza kuwasema hawa preachers wa kipopo hebu tuanzie hapa Dar...Mikocheni kwa mama mbunge wetu
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  ]Marko, Chapter 10[SUP]10:25[/SUP] Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Ni Rahisi kuingia Ngamia katika Tundu ya sindano kuliko Wachungaji kuingia peponi.
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Lakini mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi! (Mt. 9:6)!
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Marehemu Muhammad, Allah wenu, alipata mali zake kwa wizi kwa kupora misafara ya wafanyabiashara, kwa mawazo yako huyo ndiye ataingia mbinguni?
   
 14. m

  mhondo JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Lakini kuna watu wa Mungu pia katika Biblia ambao tunaelezwa kwamba walikuwa matajiri sana kwa mfano Ayubu hadi shetani akamuonea wivu na kuanza kuangamiza watoto na mali zake. Pia Mfalme Selemani naye alikuwa tajiri sana bila kuwasahau Isaka na Yakobo ingawa inaweza kuja hoja kwamba wao hawakuwa wachungaji. Inawezekana wengi wao wakawa wamepata mali hizo kwa kuwanyonya washirika/wafuasi wao lakini pia siyo vizuri kufanya 'hasty generalization'.
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Biblia haijakataza mtu kuwa tajiri, kinacho-matter ni umeupataje huo utajiri na intentions zako na unautumia vipi. Kinachonifanya nijiulize maswali mengi ni pale mchungaji/pastor etc anapotumia mali/sadaka za kanisa kwa manufaa yake binafsi.
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duu!! Hiyo hela nzuri mkuu, na mimi nitaanzisha church la nguvu
   
 17. BCR

  BCR Senior Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiuhalisi watumishi wa Mungu wanapaswa kuwa matajiri si ombaomba kila siku, kama tu ni utajiri wa halali na anautumia kwa utukufu wa Mungu.Kumbukeni wao pia ahadi za utajiri toka kwa Mungu Yesu zinawahusu. Fil4:19, zab1:3, ayub42:10,12 1wafalme3:5,13 Wachangiaji mnatakiwa kuwa ua independent side of thinking, sio mtu akitoa threads kwa sehemu kubwa mnachangia kwa mwelekeo wa aliyetoa thread. Inatakiwa kuchangia kiuhalisia kama si halisi pinga tusiwe wanafki, kumpa moyo mtoa thread kwamba yuko sahihi wakati hayuko sahihi.
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ........ watajirisheni tu mwayego ! kwani kuna ubaya gani kununua kikombe kwa shs 500/=, sabuni za upako kwa shs 5,000/=, kila ombi la kuondolewa shida zako shs 10,000/= sadaka za shukran, zaka, kununua vitenge vilivyoombewa, nakadhalika*2
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Haya uliyo weka hapa ni madai. Sasa saidia madai yako kwa ushahidi yakinifu. Hizo streets talks wont help you guys.

  Kosa lipo wapi Mchungaji akiwa na PESA?
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  For your information Jesus had MEGA MINISTRY. Mkutano wake mmoja tu, ulijaza zaidi ya watu ELFU TANO, ENZI HIIIIZZZO, sembuse sasa. Hakuna kosa la MEGA CHURCH kama unavyo ita wewe, hilo ni jibu tosha kuwa UKRISTO NI NAMBA WANI NA UNAZOA NA KUBATIZA WAISLAM KILA SIKU.
   
Loading...