Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
-
- #41
Sitahili maana yake nini?
Ushasema hujui haya mambo, kwa nini nitake kufanya biashara/ kazi na mtu ambaye kashakubali hajui anachokiandika hapa? Hata kama ningekuwa nahitaji huduma zako ambazo sizihitaji.
C6 njoo uamue huku wataanza kukwindana hawa
Mkuu ngoja nikupe New inaonesha ni mtaalamu kwenye haya mambo
Wame involve TCP na UDP na Both zinafanya kazi unlike wale wanao weka TCP kumbe haifanyi kazi ni pambo
Clients nyingi nilizo ziona hazina Random Port(Rport) Lkn wa Nigeria wameiweka
All Possible Ports are listed unlike nyingine
Ubovu huo msemo wa copy and Paste umetuharibu mbona Tecno naona copy kila kitu kwa Samsung na wengineo
Mkuu sisi WATANZANIA hata hiyo copy and paste hatuwezi narudia tena hao wa mwaka wa pili unaowasema .. download hii client kawape wa icode na wabadilishe interface 2 huone kama wataweza
Mkuu Hii ni step forward whether you like or not
Sababu Development haijarishi ume copy au la tunachokiitaji nikuona ume make step forward
Its not a big deal COPY in' Technology is innevitable sababu science siku zote ni collection ya many ideas from different pple which you call Copin' ambapo upo wrong
ADMIT nawape credits wa-Nigeria na Waafrika wenzetu na unipe mfano wa VPN client yoyote ambayo inapiga "mambo yetu" na imetengenezwa na WAAFRIKA WENZETU hapa hapa kwenye Bara letu
Criticize me when you have reached my level Meanwhile Admire me
Humble youself and you will be exalted
qwi qwi qwi qwi kwi kwi kwi kwi
Kiranga na njunwa wamavoko wanabishana kwa facts, endeleeni tu
Watu wangapi humu ndani mmeisha wahi tumia PERFECT MONEY kufanya transaction online? Umeona encryption zao zilivyo?Mkuu PayPal services are not offered to Nigerians
But wana accept PERFECT MONEY
Watu wangapi humu ndani mmeisha wahi tumia PERFECT MONEY kufanya transaction online? Umeona encryption zao zilivyo?
Mimi Nataka VPN ya USA ili niweze kuangali Video Libraryies ambazo huwezi kuona ukiwa nje ya America kama vile NETFLIX/VUDU/CRACKLE/HBO GO/AMAZON/PANDORA/VANGUARD/POPFLIX and VEVO.
What should I do jamani? kwa yoyote mwenye Mautundu naomba Anijuzi haraka tafadhali.
Mimi Nataka VPN ya USA ili niweze kuangali Video Libraryies ambazo huwezi kuona ukiwa nje ya America kama vile NETFLIX/VUDU/CRACKLE/HBO GO/AMAZON/PANDORA/VANGUARD/POPFLIX and VEVO.
What should I do jamani? kwa yoyote mwenye Mautundu naomba Anijuzi haraka tafadhali.
Wewe ndo wakala wa hao jamaa?Kama unahitaji voucher codes za Vpn plus we nicheki kwa hewa
hii inanikumbusha muuzaji wa bidhaa za kichina kakaririshwa bei ukimuuliza tofauti kidogo anarudia tena alichoanza kuongea.. mfano sabuni 6 ni 2000 ukimwambia nataka moja anarudia tena kama nilivosema mwanzo sabuni 6 ni 2000..
kwa hili lililotokea hapa..
wewe bado ni mgeni wa haya mambo, pdproxy ina connect kwa udp, tcp na icmp labda u dont know the trick tu, kutengeza vpn client ni kazi ya copy n paste na ni rahisi mno ndani ya dakika 30 unaweza kumaliza, tatizo ni kumaintain servers, ndio maana hata pdproxy zile servers sio za kwao ni za company nyengine ambazo wanalipia, mimi ninaongea na aed mmiliki wa pdproxy straight, na hii pdproxy inaendeshwa na yeye na girlfriend wake tu ndio yule unapolipa kwa paypal unaona malipo yanakwenda kwake, ila servers anazotumia zinaendeshwa na company kubwa sana....mkuu ngoja nikupe new inaonesha ni mtaalamu kwenye haya mambo
wame involve tcp na udp na both zinafanya kazi unlike wale wanao weka tcp kumbe haifanyi kazi ni pambo
clients nyingi nilizo ziona hazina random port(rport) lkn wa nigeria wameiweka
all possible ports are listed unlike nyingine
ubovu huo msemo wa copy and paste umetuharibu mbona tecno naona copy kila kitu kwa samsung na wengineo
mkuu sisi watanzania hata hiyo copy and paste hatuwezi narudia tena hao wa mwaka wa pili unaowasema .. Download hii client kawape wa icode na wabadilishe interface 2 huone kama wataweza
mkuu hii ni step forward whether you like or not
sababu development haijarishi ume copy au la tunachokiitaji nikuona ume make step forward
its not a big deal copy in' technology is innevitable sababu science siku zote ni collection ya many ideas from different pple which you call copin' ambapo upo wrong
admit nawape credits wa-nigeria na waafrika wenzetu na unipe mfano wa vpn client yoyote ambayo inapiga "mambo yetu" na imetengenezwa na waafrika wenzetu hapa hapa kwenye bara letu
njunwa wamavoko naona hap ni mkuki moyoni Krapka Davinooowewe bado ni mgeni wa haya mambo, pdproxy ina connect kwa udp, tcp na icmp labda u dont know the trick tu, kutengeza vpn client ni kazi ya copy n paste na ni rahisi mno ndani ya dakika 30 unaweza kumaliza, tatizo ni kumaintain servers, ndio maana hata pdproxy zile servers sio za kwao ni za company nyengine ambazo wanalipia, mimi ninaongea na aed mmiliki wa pdproxy straight, na hii pdproxy inaendeshwa na yeye na girlfriend wake tu ndio yule unapolipa kwa paypal unaona malipo yanakwenda kwake, ila servers anazotumia zinaendeshwa na company kubwa sana....
Nakupa warning jaribu kuwaepuka wanigeria na vpn zao, itakuja kukukost utajuta wakikuibia pesa, identity au anything kama hivyo.....deal na hao pdproxy coz waswahili wanasema hivi zimwi likujualo halikuli likakwisha......
wewe bado ni mgeni wa haya mambo, pdproxy ina connect kwa udp, tcp na icmp labda u dont know the trick tu, kutengeza vpn client ni kazi ya copy n paste na ni rahisi mno ndani ya dakika 30 unaweza kumaliza, tatizo ni kumaintain servers, ndio maana hata pdproxy zile servers sio za kwao ni za company nyengine ambazo wanalipia, mimi ninaongea na aed mmiliki wa pdproxy straight, na hii pdproxy inaendeshwa na yeye na girlfriend wake tu ndio yule unapolipa kwa paypal unaona malipo yanakwenda kwake, ila servers anazotumia zinaendeshwa na company kubwa sana....
Nakupa warning jaribu kuwaepuka wanigeria na vpn zao, itakuja kukukost utajuta wakikuibia pesa, identity au anything kama hivyo.....deal na hao pdproxy coz waswahili wanasema hivi zimwi likujualo halikuli likakwisha......