Mkuu ngoja nikupe New inaonesha ni mtaalamu kwenye haya mambo
Unipe new maana yake nini?
Wame involve TCP na UDP na Both zinafanya kazi unlike wale wanao weka TCP kumbe haifanyi kazi ni pambo
Hujawahi kuona VPN Client yenye ku support TCP na UDP?
Clients nyingi nilizo ziona hazina Random Port(Rport) Lkn wa Nigeria wameiweka
Clients nyingi au zote? Umeziona zote?
All Possible Ports are listed unlike nyingine
All possible ports are listed? Hivi unaelewa concept ya port wewe?
Ubovu huo msemo wa copy and Paste umetuharibu mbona Tecno naona copy kila kitu kwa Samsung na wengineo
Copy paste imekulemaza hata kuandika sentensi iliyonyooka tabu sasa.
Copy paste inakubalika kama unataka ku innovate.It is senseless to reinvent the wheel anytime you want to come with a new engine design for a car.
Ndiyo maana nikawa makini kuuliza hawa Wanaijeria kipya katika hiyo VPN yao ni kipi? Hakuna.
Mbona codes za kutengeneza VPN zipo readily available katika Opes Source Project? Unaenda, una compile, unaondoa jina la originator, unabadilisha rangi, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Pakistani huko aliyeipost, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Norway huko aliyepost, unasema "hii ni VPN ya Wanaijeria"
Watu wasiojua kwamba hivi vitu vyote vipo open source project wanaogooopa. Kumbe kila kitu unaweza kufanya kwa copy paste tu.
Ni kama ume copy mp3 kadhaa na kutengeneza playlist mpya, ume scratch hapa na pale na ku shout out jina lako, ukasema "huu ni muziki mpya wa wanaijeria". Huku kuna watu waliopiga ala na kuimba katika huo muziki, wewe hujaweka kipya chochote zaidi ya swagger.
Mkuu sisi WATANZANIA hata hiyo copy and paste hatuwezi
Kwa hiyo umekubali kwamba ni copy and paste sio?
Sasa kwa nini tutake copy and paste na kuji puff kwamba tuna kitu kipya?
Unajuaje kama kila siku watu hawafanyi customization zao kwa mtindo huu wa copy and paste bila ya kuzipublish kwa sababu wanaona sio such a big deal? Hakuna kipya wanacho contribute katika technology. Ni aibu kutamba kwa vumbuzi ambazo zishafanywa na wengine tayari.
narudia tena hao wa mwaka wa pili unaowasema .. download hii client kawape wa icode na wabadilishe interface 2 huone kama wataweza
I saw that in 2008, sihitaji kufanya leo.
Mkuu Hii ni step forward whether you like or not
Sijakataa, inawezekana ni step forward kuelekea nyuma. VPN ishavumbuliwa, wewe unarudi kwenye kuitengeneza VPN ile ile iliyokwisha vumbuliwa, how could that be a step forward per se?
Sababu Development haijarishi ume copy au la tunachokiitaji nikuona ume make step forward
Nishaeleza hapo juu kwamba we don't need to reinvent the wheel everytime we want to innovate, and that is where copy paste (without copyright infringement by the way) inapokubaliwa.
Lakini hapa innovation ipo wapi? Kuna tofauti kati ya mtu aliye copy na kuongezea kipya, na yule anaye copy paste na ku shout hurrah bila kuweka kipya. Hii habari uliyotuletea haina kipya, na kama kipo hujakielezea bado.
Its not a big deal COPY in' Technology is innevitable sababu science siku zote ni collection ya many ideas from different pple which you call Copin' ambapo upo wrong
I have no problem with copying, nimeongelea not neding reinventing the wheel hapo juu. Reusability and economy of time are great concepts in innovation. Lakini pia huwezi kusema umegundua kitu wakati kishagunduliwa.
Wanaijeria wana kipya gani hapa? Au una hashuo tu kwa sababu mambo ay teknolojia huyajui? What's next? Utaanza ku shout hurrah kwa sababu watu wana blog blogpost? From a template?
What's the difference kati ya hao wanaoblog blogpost na hawa Wanaijeria? Wote hawajatupa teknolojia mpya. Wanatumia vitu ambavyo tayari vipo.
ADMIT nawape credits wa-Nigeria na Waafrika wenzetu na unipe mfano wa VPN client yoyote ambayo inapiga "mambo yetu" na imetengenezwa na WAAFRIKA WENZETU hapa hapa kwenye Bara letu
Tatizo linalokusumbua ni racial pride, which sometimes borders on racism.
Halafu unavyojishaua kwa hashuo kwa mambo ya Wanaijeria, hao wanaijeria wenyewe kwao hawaitambui Naijeria hivyo, wanajiona wa Igbo, Yoruba etc, much less kukutambua wewe Mtanzania kama ndugu yao.
Put down the champagne bottle, mpaka sasa hujatuonesha kipya hapa ambacho hakijafanywa na wengine bado.
Waafrika wengine kwa kupenda kusheherekea mambo ya kawaida tu siawezi, labda ndiyo maana kupata achievements za kusheherekea kwa kweli ni vigumu.