Nigerian politicians brawl in parliament over PDP split

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
Huu upepo naona unazidi kusambaa!

Nigerian politicians brawl in parliament over PDP split

_69792349_goodluckafp.jpg
President Goodluck Jonathan has not yet said whether he will seek re-election
Continue reading the main story Nigeria - Troubled Giant

Nigerian politicians have exchanged punches after a splinter group from the governing People's Democratic Party (PDP) tried to address parliament.
The lower house had just reconvened after a seven-week break - during which the new PDP faction was formed.
But a BBC reporter says MPs loyal to President Goodluck Jonathan began shouting and jeering, which upset their rivals and scuffles broke out.
The new faction does not want President Jonathan to seek re-election in 2015.
He has not yet said whether he will stand but some of his allies, including his wife, have started campaigning for him.
The BBC's Ibrahim Isa says he saw one politician tear the shirt of another in chaotic scenes at Nigeria's House of Representatives in the capital, Abuja.
The brawl lasted for about 10 minutes with legislators hitting each other.
TV footage reportedly shows a female legislator poking her finger in the face of a colleague.
Another politician was seen grabbing a chair in an attempt to hit a fellow lawmaker, the AFP news agency reports.
The PDP has won every national election since the end of military rule in 1999, so the party's presidential candidate would be in a strong position to become Nigeria's next leader.
Mr Jonathan has been president since 2010, when his predecessor died in office and he was promoted from vice-president.
He beat off a challenge to become PDP candidate in the 2011 elections, which he won despite opposition claims of rigging.
 
Aah, hukuhangaika hata kututafutia picha?
 
Wabunge wa bunge la waakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya Jumanne baada ya kuzuka bungeni suitofahamu kuhusu mrengo wa wabunge waliojitenga na chama tawala. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.
Kituo kimoja cha kibinafsi cha televisheni, pamoja na vituo vingine vilionyesha picha za mbunge mwanamke akimtosa kidole usoni kwa ghadhabu mbunge mwenzake wakati mbunge mwanamume akionekana akichukua kiti nusura kumgonga mwenzake.

Wabunge wengine walionekana wakipigana ngumi.
Mgogoro inasemekana ulianza baada ya mwenyekiti wa mrengo wa wabunge waliojiondoa kutoka kwa chama tawala, Kawu Baraje, kuingia bungeni akiandamana na magavana wanaomuunga mkono.
Inaarifiwa spika wa bunge la waakilishi ,Aminu Tambuwal, aliambia wabunge kuwa Baraje aliomba ruhusa kuwahutubia wabunge wa mrengo wake kabla ya bunge kuanza vikao vyake.
Lakini kuwepo kwa wabunge hao bungeni kuliwaghabisha mno wafuasi wa chama tawala, PDP,kiasi cha kuzuka sokomoko bungeni kati ya pande hizo mbili na kumlazimisha bwana Baraje kukatiza hotuba yake kutokana na kelele bungeni.
Chama tawala PDP kina wabunge wengi zaidi bungeni wakiwa 23 kati ya wabunge wote 36
Aidha chama hicho kimetawala Nigeria tangu kupata uhuru mwaka 1999 lakini hivi kribuni kimezongwa na migogoro ya ndani ya chama pamoja na kukabiliwa na upizani wenye ushawishi.
Wananchi wanajiandaa kwa uchaguzi mwaka 2015, lakini wadadisi wana wasiwai ikiwa chama tawala kitakuwa kimesuluhisha migogoro yake, huku kikikabiliwa na upinzani mkali.
Mgogoro huu umekuwa ukitokota kwa miezi kadhaa huku baadhi ya wabunge wakitofautiana kuhusu ikiwa Rais Goodluck Jonathan aidhinishwe na chama kugombea urais kwa mara nyingine wakati kuna wanasiasa wengine wanaotaka kugombea urais.
Hii ni mara ya kwanza kwa wabunge wa Nigeria kurushiana ngumi bungeni.
source;Wabunge wa Nigeria wapigana bungeni - BBC Swahili - Habari
 
LEGISREPORTS NG – The floor of the House of Representatives was thrown into a prolonged rowdy session following fierce protests from some members against recognition of the Mr. Abubakar Baraje-led splinter group of the Peoples Democratic Party (PDP) by Speaker Aminu Tambuwal.

The floor was turned into a market place scenario of raised voices, howling, hustling and rowdy movement by members as lawmakers loyal to the Baraje group and those for the Mr. Bamanga Tukur-led national working committee of the party engaged in shouting match over the propriety or otherwise of the Speaker's decision to recognise the splinter group of the PDP.

Trouble started when Speaker Tambuwal after reading a his address to members to welcome them from resumption announced a communication from the PDP to members of the party only in the chambers.

He refused to name which ‘faction' of the party the communication came from but betrayed the real authors of the letter when he read the text indicating that it was the "national working committee of the party led by Alhaji Abubakar Baraje" that wrote to seek a meeting with PDP members of the House.

Immediately after, the House was thrown into commotion which lasted for over 30 minutes as angry members of the party presumably loyal to the Tukur group rose and shouted down the speaker. But the speaker's announcement elicited cheers from the Baraje loyalists who countered their opposing colleagues thereby throwing the floor into a battleground.

By the speaker's action, Tambuwal has confirmed LEGISREPORTS several exclusive reports in recent times which authoritatively informed that the Sokoto-born politician has always been hand-in-gloves with the Baraje group even though he had abstained from aligning publicly.

The speaker's move also aligns with an earlier confirmation of our exclusive by House spokesman, Hon. Mohammed Zakari, who had last week told journalists that Tambuwal belonged to the Baraje group and will soon declare openly.

While the commotion on the floor lasted, the speaker was seen frantically explaining to members who besieged his seat area to confront him on the audacious move to recognise the Baraje group.

When tempers eventually cooled, the speaker announced that there was also a communication from the Tukur led PDP seeking a meeting with the PDP caucus of the House today for 3pm but that the letter was withdrawn which is why he saw no need to bring it up on the floor.

Even tension was still palpable on the floor, the House carried on with proceedings on the order paper and a vote of confidence on the leadership of Tambuwal was moved and carried by the lawmakers.

The motion for the vote was moved by Hon. Kingsley Chinda (PDP) from Rivers State and seconded by Hon. Goni (Yobe, PDP).

Meanwhile, the Baraje-led group is set to commence a meeting with the PDP caucus any moment from now at the premises of the House.

This report was prepared by our reporter in National Assembly
 
Source: BBC

Wabunge wa Nigeria wapigana bungeni

18 Septemba 2013 10:18Wabunge wa bunge la waakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya Jumanne baada ya kuzuka bungeni suitofahamu kuhusu mrengo wa wabunge waliojitenga na chama tawala. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.Kituo kimoja cha kibinafsi cha televisheni, pamoja na vituo vingine vilionyesha picha za mbunge mwanamke akimtosa kidole usoni kwa ghadhabu mbunge mwenzake wakati mbunge mwanamume akionekana akichukua kiti nusura kumgonga mwenzake.Wabunge wengine walionekana wakipigana ngumi.Mgogoro inasemekana ulianza baada ya mwenyekiti wa mrengo wa wabunge waliojiondoa kutoka kwa chama tawala, Kawu Baraje, kuingia bungeni akiandamana na magavana wanaomuunga mkono.Inaarifiwa spika wa bunge la waakilishi ,Aminu Tambuwal, aliambia wabunge kuwa Baraje aliomba ruhusa kuwahutubia wabunge wa mrengo wake kabla ya bunge kuanza vikao vyake.Lakini kuwepo kwa wabunge hao bungeni kuliwaghabisha mno wafuasi wa chama tawala, PDP,kiasi cha kuzuka sokomoko bungeni kati ya pande hizo mbili na kumlazimisha bwana Baraje kukatiza hotuba yake kutokana na kelele bungeni.Chama tawala PDP kina wabunge wengi zaidi bungeni wakiwa 23 kati ya wabunge wote 36Aidha chama hicho kimetawala Nigeria tangu kupata uhuru mwaka 1999 lakini hivi kribuni kimezongwa na migogoro ya ndani ya chama pamoja na kukabiliwa na upizani wenye ushawishi.Wananchi wanajiandaa kwa uchaguzi mwaka 2015, lakini wadadisi wana wasiwai ikiwa chama tawala kitakuwa kimesuluhisha migogoro yake, huku kikikabiliwa na upinzani mkali.Mgogoro huu umekuwa ukitokota kwa miezi kadhaa huku baadhi ya wabunge wakitofautiana kuhusu ikiwa Rais Goodluck Jonathan aidhinishwe na chama kugombea urais kwa mara nyingine wakati kuna wanasiasa wengine wanaotaka kugombea urais.Hii ni mara ya kwanza kwa wabunge wa Nigeria kurushiana ngumi bungeni.
 
Hatuwezi kujifananisha na Nigeria wakati viongozi watawala wake wengi waliingia kwa mapinduzi kuliko demokrasia, yatupasa tujifaninishe na nchi za kistaarabu siyo nchi iliyojaa uhuni na utapeli.
 
Source: BBC

Wabunge wa Nigeria wapigana bungeni

18 Septemba 2013 10:18Wabunge wa bunge la waakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya Jumanne baada ya kuzuka bungeni suitofahamu kuhusu mrengo wa wabunge waliojitenga na chama tawala. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.Kituo kimoja cha kibinafsi cha televisheni, pamoja na vituo vingine vilionyesha picha za mbunge mwanamke akimtosa kidole usoni kwa ghadhabu mbunge mwenzake wakati mbunge mwanamume akionekana akichukua kiti nusura kumgonga mwenzake.Wabunge wengine walionekana wakipigana ngumi.Mgogoro inasemekana ulianza baada ya mwenyekiti wa mrengo wa wabunge waliojiondoa kutoka kwa chama tawala, Kawu Baraje, kuingia bungeni akiandamana na magavana wanaomuunga mkono.Inaarifiwa spika wa bunge la waakilishi ,Aminu Tambuwal, aliambia wabunge kuwa Baraje aliomba ruhusa kuwahutubia wabunge wa mrengo wake kabla ya bunge kuanza vikao vyake.Lakini kuwepo kwa wabunge hao bungeni kuliwaghabisha mno wafuasi wa chama tawala, PDP,kiasi cha kuzuka sokomoko bungeni kati ya pande hizo mbili na kumlazimisha bwana Baraje kukatiza hotuba yake kutokana na kelele bungeni.Chama tawala PDP kina wabunge wengi zaidi bungeni wakiwa 23 kati ya wabunge wote 36Aidha chama hicho kimetawala Nigeria tangu kupata uhuru mwaka 1999 lakini hivi kribuni kimezongwa na migogoro ya ndani ya chama pamoja na kukabiliwa na upizani wenye ushawishi.Wananchi wanajiandaa kwa uchaguzi mwaka 2015, lakini wadadisi wana wasiwai ikiwa chama tawala kitakuwa kimesuluhisha migogoro yake, huku kikikabiliwa na upinzani mkali.Mgogoro huu umekuwa ukitokota kwa miezi kadhaa huku baadhi ya wabunge wakitofautiana kuhusu ikiwa Rais Goodluck Jonathan aidhinishwe na chama kugombea urais kwa mara nyingine wakati kuna wanasiasa wengine wanaotaka kugombea urais.Hii ni mara ya kwanza kwa wabunge wa Nigeria kurushiana ngumi bungeni.

Kwa uelewa wangu wabunge wa TANZANIA hawajawahi kupigana ile Mbunge amewahi kupigana na askari wa bunge hapa Tanzania japo nahisi tuna hamu sana wapigane....... ni Mawazo yangu lkn....!!
 
NIGERI.jpg
NIGERI.jpg
Wabunge wa bunge la waakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya Jumanne baada ya kuzuka bungeni suitofahamu kuhusu mrengo wa wabunge waliojitenga na chama tawala. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.
Kituo kimoja cha kibinafsi cha televisheni, pamoja na vituo vingine vilionyesha picha za mbunge mwanamke akimtosa kidole usoni kwa ghadhabu mbunge mwenzake wakati mbunge mwanamume akionekana akichukua kiti nusura kumgonga mwenzake.

Wabunge wengine walionekana wakipigana ngumi.
Mgogoro inasemekana ulianza baada ya mwenyekiti wa mrengo wa wabunge waliojiondoa kutoka kwa chama tawala, Kawu Baraje, kuingia bungeni akiandamana na magavana wanaomuunga mkono.
Inaarifiwa spika wa bunge la waakilishi ,Aminu Tambuwal, aliambia wabunge kuwa Baraje aliomba ruhusa kuwahutubia wabunge wa mrengo wake kabla ya bunge kuanza vikao vyake.
Lakini kuwepo kwa wabunge hao bungeni kuliwaghabisha mno wafuasi wa chama tawala, PDP,kiasi cha kuzuka sokomoko bungeni kati ya pande hizo mbili na kumlazimisha bwana Baraje kukatiza hotuba yake kutokana na kelele bungeni.
Chama tawala PDP kina wabunge wengi zaidi bungeni wakiwa 23 kati ya wabunge wote 36
Aidha chama hicho kimetawala Nigeria tangu kupata uhuru mwaka 1999 lakini hivi kribuni kimezongwa na migogoro ya ndani ya chama pamoja na kukabiliwa na upizani wenye ushawishi.
Wananchi wanajiandaa kwa uchaguzi mwaka 2015, lakini wadadisi wana wasiwai ikiwa chama tawala kitakuwa kimesuluhisha migogoro yake, huku kikikabiliwa na upinzani mkali.
Mgogoro huu umekuwa ukitokota kwa miezi kadhaa huku baadhi ya wabunge wakitofautiana kuhusu ikiwa Rais Goodluck Jonathan aidhinishwe na chama kugombea urais kwa mara nyingine wakati kuna wanasiasa wengine wanaotaka kugombea urais.
Hii ni mara ya kwanza kwa wabunge wa Nigeria kurushiana ngumi bungeni.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ,Heading peke yake imenichekesha sana,ujue watu ni wathenge sana,
Mtu anasema sukari=magadi alafu ukibisha tu ,NDIYOOOOO....hoja ishapita hapo.
KWA NINI USITWANGE MTU MAKONDE?PIGA TU.
 
Hapa zimeanza kupigwa kavukavu, subiri mwaka wa nenda kwa usalama 2014 uone kivumbi kitakachotika
 
hata sisi tunaweza siku moja na la kwetu tukashuhudia migumi ndani ya Bunge.
 
Back
Top Bottom