Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,496
- 3,168
Mil 400[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] . Afu anaseme tuishi kama peponi. Mbona yeye anaishi kama yuko mbinguni sasaMagufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
My be annuallyMimi ni mshamba mkuu hii figure ni annual salary or monthly?
Mkuu una hasira kweli...mungu anawaonaMagufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
Hii ni kama ni kweli basi ndo maana Watu wanataka kutoana roho kwenye kuwania uraisiEvery calendar month!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda...lakini kwa poverty mentality aliyonayo, I doubt it...kwani he is having a once in his life experience kuendeshwa ndani ya 730Li na 745Li.
MKUU BORA NIGERIA WAMEZIUZA NA DUNIA NZIMA IMEJUA KUWA NIGERIA WAMEUZA NDEGE ZAO ZA RAIS.....Umenikumbusha pesa mbili mramba kwenye ubora wake
Na hapo bado nasikia huduma zote za mavazi, chakula mpaka tomato source tunamnunulia.Waliupeg mshahara wa mtakatifu kwa US Dollar ni $192,000 per annum hivyo pesa yetu ikianguka na mshahara unazidi kupaa. Tafuta conversion rate ya leo utaona equivalent yake na pesa yetu ya kibongo.
Uchumi wa Nigeria umeporomoka sana kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta na gas. Ndo maana wanauza ndege za rais. Ila sikujua kama president wa Nigeria anandege 10 kabla ya kuuza 2Uchumi wao unawaruhusu
Kumbuka mshahara ni personal. Sasa Mambo ya ofisi si yatatumia pesa ya ofisiKazi nazo ni nyingi mno
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu una hasira kweli...mungu anawaona
Bora umekumbusha. Pengine imepelekwa makumbusho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .MKUU BORA NIGERIA WAMEZIUZA NA DUNIA NZIMA IMEJUA KUWA NIGERIA WAMEUZA NDEGE ZAO ZA RAIS.....
SWALI JE,SISI ILE NDEGE ILIYONUNULIWA YA PREZIDAH IPO AU ILIUZWA KINYEMELA
MAANA NI KIMYAAAA.....TUNAULIZA NA KUTAKA KUJUA TU
OVA
[HASHTAG]#Pasco[/HASHTAG] atakuwa anaujuwa mchongo huo!ngojaMkuu hilo swali labda pasco aje atufafanulie hapa
Hahaha wanaweza iuza Kama skrepa...piaBora umekumbusha. Pengine imepelekwa makumbusho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Ninachotaka kujua. Imeenda wapi??????[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Hahaha wanaweza iuza Kama skrepa...pia
Ikapimwa NDEGE nzima.....
Ova