Nigeria yaondoa mabalozi - Africa Kusini

Nigeria yaondoa mabalozi - Africa Kusini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,606
Nchi ya Nigeria imewaita mabalozi wake waishio nchini Afrika Kusini warejee nyumbani kufuatia mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya wenyeji .

Mpaka sasa watu saba wameshapoteza uhai kufuatia mashambulizi hayo, yaliyoanza wiki tatu zilizo pita.mali zimeharibiwa vibaya na mashambulizi hayo yamizusha hofu kubwa miongoni mwa raia wa kigeni.

Balozi wa Nigeria mjini Pretoria,mji wa kibiashara na kwingineko wanatarajiwa kurejea Nigeria kwa ushauri zaidi.

Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki ilieleza wazi baadhi ya waafrika kusini walia andaa maandamano ya Amani na shutuma za Jacob Zuma kulaani mashambulio hayo na kama ambavyo alifanya mfalme Zulu King Goodwill Zwelithini, ambaye anashutumiwa kuwa maoni yake ndiyo chanzo cha vurugu hizo.

Wabunge nchini Nigeria wameitaka serikali ya Afrika Kusini kulipa uharibifu uliotokea na kikundi cha kutetea haki cha Nigeria kimesha peleka malalamiko yake katika mahakama ya uhalifu wa kivita ICC.

Mwishoni kwa wiki iliyopita,katika taarifa iliyotolewa nchini Afrika Kusini,kutoka katika kitengo kinachoshughulikia mahusiano ya kimataifa na ushirika kimerusha lawama zake kwa serikali ya Nigeria kwa hatua waliyoichukua na kuielezea kama isiyo bahati na ya kusikitisha.

Katika utetezi wake serikali ya Afrika Kusini imesema kwamba hatua ya mashirika ya kiraia kulaani na kukemea mashambulizi hayo na kutoa wito wa kusitishw akwa mashambulio dhidi ya wageni kutokana na hayo utekelezaji, utulivu wa kijamaa na utaratibu na amri ilitolewa.

Kipekee,wizara ya mambo ya mambo ya nje ya Liberia katika taarifa iliyotolewa Jumapili pamoja na mambo mengine, imeipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha miaka kadhaa leo April 27 tangu kuondolewa kwa ubaguzi wa rangi nchini humo na uchaguzi wa kidemokrasia uliofanyika nchini humo mnamo mwaka 1994.

Wizara hiyo imezungumzia hali ngumu nchi hiyo iliyokuwa inapitia, katika taarifa hiyo Rais Ellen Johnson Sirleaf, mshindi wa tuzo ya Amani, alisema kwamba alikuwa akiiombea nchi hiyo kupata ujasiri na nguvu ya pamoja kwa umuhimu mkubwa iweze kuongoza watu wake katika maamuzi sahihi katika harakati za kutaka kuufunga ukurasa wa kiza uliokuwa ukiiandama nchi hiyo dhidi ya raia wa kigeni.

Chanzo: BBC
 
MK254

Mkuu kiswahili wakati fulani kina utata...ukisema Nigeria inatosha we know it is a country, usually a country has one balozi, i guess you intended to say wanadiplomasia (balozi included). Kama BBC wamekuwa hivi it is very very crappy language
 
Last edited by a moderator:
Inatakiwa nchi za Africa zote wafunge Balozi mpaka muanzishaji na mchochezi wa fujo hili akamatwe pamoja na wafuasi walioshiriki kushambulia wageni.Hii sio mara ya kwanza na haitokuwa ya mwisho kama nchi za Africa hawajashirikiana katika kutokomeza ubaguzi.Tena Serikali ya Soth Africa ilipishwe pesa na walipwe wote walio patwa na maafa na hata waliopotelewa na jamaa zao.Hawa jamaa sasa ndio naona kwanini Polisi iliamua kumimina risasi kule migodini
 
Je, Nigeria imetatua swala la watoto waliotekwa nyara kule kwao?
 
Mkuu kiswahili wakati fulani kina utata...ukisema Nigeria inatosha we know it is a country, usually a country has one balozi, i guess you intended to say wanadiplomasia (balozi included). Kama BBC wamekuwa hivi it is very very crappy language

Nchi nyingine zinaweka balozi zaidi ya mmoja... mfano mzuri ni mexico, ina zaidi ya mabalozi wawili USA
 
nchi nyingine zinaweka balozi zaidi ya mmoja... mfano mzuri ni mexico, ina zaidi ya mabalozi wawili USA

Mkubwa never in diplomacy, nadhani unachozungumzia hapa ni Embassy na consulate, nchi nyingi tu zina embassies na consulates. Kwa mfano Marekani ina ubalozi Beijing China na Consulate Shanghai na miji mingine, consulates hazina balozi, ila wasaidizi wa balozi ambao pia ni wanadiplomasia wenye hadhi ya kidiplomasia kama katibu wa kwanza na katibu wa pili
 
Mkuu kiswahili wakati fulani kina utata...ukisema Nigeria inatosha we know it is a country, usually a country has one balozi, i guess you intended to say wanadiplomasia (balozi included). Kama BBC wamekuwa hivi it is very very crappy language
Aisee umepatia Kiongozi.
 
Mkubwa never in diplomacy, nadhani unachozungumzia hapa ni Embassy na consulate, nchi nyingi tu zina embassies na consulates. Kwa mfano Marekani ina ubalozi Beijing China na Consulate Shanghai na miji mingine, consulates hazina balozi, ila wasaidizi wa balozi ambao pia ni wanadiplomasia wenye hadhi ya kidiplomasia kama katibu wa kwanza na katibu wa pili
thanks

nilibahati kukutana na "balozi wa Mexico DC, LA na wa NC mwaka jana... na wote nilitambulishwa kama mabalozi, hebu nisaidie, kwahiyo nilidanganywa??

Tanzania ina balozi DC na NY (akituwakilisha UN)
 
Kaka hizo ni consulates sio balozi. Tatizo ni kuwa kwa kiswahili hatuna jina sawia la ofisa wa kidiplomasia anayekuwa mkuu wa Consulate. In simple diplomatic language they are being called Consul generals, you can have more than one in a country. Consulates are kind of branches of Embassies/High Commissions, Consul generals can as well( even if appointed) be under balozi.
 
kwahiyo hawaitwi mabalozi sio?
 
kwahiyo hawaitwi mabalozi sio?

Du kaka, ninachosema kwa kiswahili ni vigumu kutaja sawia, kuna ambiguty ndio maana najaribu kutumia meneo ya kiingereza. Ambassador si sawa na consul general

Lakini hata ukiangalia hapa tanzania unaweza kuona kuna watu ni mabalozi, lakini sio ambasadors. Kwa mfano Ombeni Sefue ni balozi, si ambassador kwa maana ya mwakilishi wa Tanzania katika nchi nyingine. Kwa hiyo Consul general hata wa kwetu Tanzania wanaweza kuwa na hadhi ya balozi...kina dogo kuna ugumu wa kueleza mkuu. Labda wanadiplomasia wanaweza kueleza vizuri zaidi. Lakini maana yangu ni kuwa you are not wrong, but there is more into it.
 
Je, Nigeria imetatua swala la watoto waliotekwa nyara kule kwao?

Hawa nao ni wapumbavu wengine wanahangaika na mambo ya South Africa wakati kuna watoto zaidi ya mia tatu hawajulikani kama wako hai au wameshakufa.
 
Back
Top Bottom