Nigeria: Rais Tinubu aagiza Magari yote ya Serikali yawe yanatumia Gesi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,036
1,665
1715674202068.png

Rais Bola Tinubu ameagiza mashirika yote ya serikali kununua magari yanayotumia gesi pekee kama sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kuhamisisha na kuhamia katika matumizi ya nishati safi na kupunguza gharama kubwa za mafuta.

Msemaji wa Rais amesema Rais Tinubu anatarajia idara zote za serikali na mashirika kuanza kuondoa magari yanayotumia petroli au dizeli kuanzia sasa. Pia Magari yote mapya ya serikali, jenereta, au bajaji lazima yatumiwe gesi asilia, nishati ya jua au yawe na vyanzo vya umeme.

Agizo hili linakuja Wiki chache baada ya Serikali kutangaza mipango ya kuzindua Mabasi na Bajaji zaidi ya 2,000 yanayotumia gesi katika juhudi za kupunguza gharama za usafiri kabla ya tarehe 29 Mei.

...........

Nigeria's President Bola Tinubu has ordered all government agencies to purchase only gas-powered vehicles as part of the country's efforts to transition to cleaner energy and cut high fuel costs.

In the directive issued on Monday by presidential spokesman Ajuri Ngelale Mr Tinubu said he expected all government departments and agencies to start disposing of all petrol or diesel-powered vehicles going forward.

All new government vehicles, generators, or tricycles must utilise compressed natural gas (CNG), solar power or be powered by electric energy sources, the president added.

President Tinubu expressed his commitment to effectively harness the country's gas potential to alleviate the burden of high transportation costs on the masses. The directive comes a few weeks after the government announced plans to roll out more than 2,000 gas-powered buses and tricycles in an effort to slash transportation costs before 29 May, when President Tinubu turns one year in office.

Nigeria holds Africa's largest gas reserves but they are under-utilised due to inadequate processing facilities.

Source: BBC
 
Hiyo inatakiwa ifanyike hapa haraka sana na ihusishe pia na magari yote ya abiria pamoja na ya mizigo na gharama zitapungua zaidi ya mara mbili na nauli vilevile.

Kama Dar - Mwanza nauli ni shilingi 70,000/- kwa sasa, itapungua hadi 35,000/- na kwa mizigo kama gharama ya Semi Trailer toka Dar kwenda Mwanza ni milioni 4 itakuwa chini ya milioni 2.

Tunakoenda haya mafuta yatakuja kukosa kabisa soko.
 
Back
Top Bottom