Ndiyo lengo lao, yaani ni ujinga mtupu tu. Sehemu zote ambazo wamekaa hawa watu na kutawala hakuna maendeleo yeyote ni shida na vurugu tu zikiambatana na mauaji ya kinyama. Yaani watu wanaishi kama wako karne ya 7 enzi za Mohammed, hakuna internet wala maendeleo yeyote yanayomuendeleza mwanadamu, wanawake wanadharauliwa na kufanywa kuwa starehe ya mwanamme bila ridhaa yao. Mifano ipo hai kwa wale watakaobisha, angalieni Somalia, Yemen, Nigeria, Afghanstan, na sehemu zingine za kipuuzi wanapoishi hawa wasanii wa dini.