''simply because black look like human, act like human, does not necessarily make them sensible human being'' p.w botha! inabidi waafrica tuanze kujiuliza kweli na sisi ni binadam timilifu? simply hata apa JF, mada nyingi na hata tunazozishabikia ni kwa mfano za middle east, mgogoro wa israel na palestine unatugusa kuliko hata matatizo ya bara hili, ii si ukistaajab ya musa jamani...................! tuna matatizo mengi sana bara ili ila wapi, wakati wa vita vya israel na hizbollah, kuna maandamano dar yaliandaliwa kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ila sijawai kuna maandamano kuandaliwa kuprotest wattoto na wanawake wanaokufa ktk mapigano kama uko darfur, congo etc na sas watoto wanakufa kwa kukosa chakula lakini hatuandamani! mi cjui labda botha alikua sahihi!