L lizy lizy Member Joined Aug 29, 2019 Posts 31 Reaction score 19 Aug 30, 2019 #1 wakuu naomba mnipe darasa jinsi ya 'kurecover' msg au picha nilizofuta kwenye simu yangu kwa muda mrefu bila kutumia computer.
wakuu naomba mnipe darasa jinsi ya 'kurecover' msg au picha nilizofuta kwenye simu yangu kwa muda mrefu bila kutumia computer.
King Elly JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,204 Reaction score 1,322 Aug 30, 2019 #2 bila kutumia computer kwanza kabisa simu yako iwe inatumia Android Os PILI simu yako inatakiwa iwe rooted baada ya kufanya yote ayo mawili ingia play store kuna app nyingi tu zinaweza kufanya kazi unaitaji
bila kutumia computer kwanza kabisa simu yako iwe inatumia Android Os PILI simu yako inatakiwa iwe rooted baada ya kufanya yote ayo mawili ingia play store kuna app nyingi tu zinaweza kufanya kazi unaitaji