Nifungulieni Milango

Shantel

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
2,018
Reaction score
1,132
Hodihodi wanajf nipokeeni na mie nimejiunga leo baada ya kuwa guest member wa miaka mingi
 
karibu pita ndani,,katavi anakuletea kinywaji sasa hv
 
katavi,klokwini,wiseLade,the finest ni watu wakarimu sana/hawataacha kukukarimu,..............karibu!
 
Karibu sana jamvini, unakunywa kinywaji gani tafadhali...
 
Karibu sana upate kiti, hapa ndo nyumbani kwa wafikiriaji wakuu.....:coffee:
 
karibu shantel pita mpaka uani
 
Ahsanteni wote mlionikaribisha mungu awabariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…