Nifundisheni Kumpenda

Tatizo nililoliona hapo ni sababu jamaa hana kazi "huyu mdada kasema kwamba wapo tofauti sababu jamaa yupo shule yeye yupo mtaani anafanya kazi" sasa ajabu sie wanaume tunaweza kua tuna kazi lakini unamchukua mwanamke asie na future hata kazi yenyewe hana yani hata haeleweki na wala hatu complain...
 
Nimecheka Leo tena
 
Mkuu upewe nini tena!!? Tena shukuru mungu huyu ni static aisee since upo unaitwa miss Fulani mpk unafikia kwenye mama Fulani bado anakuelewa. ungekutana na mabaharia hapo Hata kama alikuwa anakuzimia kiasi gan angebadili gia fasta tu. Hebu mpe moyo wako kijana wa watu bhn
 
Broke men wanajua kucare sana maana ndicho kitu pekee anachoweza kuoffer, sasa akishazishika [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]


Halafu kingine kinachofanya ushindwe kumpenda ni hiyo hali yake ya kiuchumi. Pesa ni sumaku sometimes
 
Hili nalo neno
 
Haha mnateteana sana
 
dah...watu kama wewe huwa mnajikuta hadi mwisho wa siku hakuna mlichoambulia kwenye mahusiano...acha kuchagua fanya maamuzi mwenyewe bwana
 
TATILIZO LAKO UNACOMLICATE HAYA MAPENZI. MWANAMKE UKIPENDWA PENDEKA TU ACHA HABARI ZA KUSEMA HANA KAZI UMRI MDOGO.PESA NI NZURI MAANA NDIYO MBOLEA YA MAPENZI LAKINI PESA SIYO MAPENZI MAANA MAPENZI YANAYOLENGA PESA NI SAWA TU NA MUUZA PAPUCHI .INASAIDIA NINI PESA IPO MTU HAWEZI KUPIGA PAPUCHI,KIPIGO DAILY,FUMANIZI DAILY,MATUSI NA KUKUFEZEHESHA MBELE ZA WATU.NDUGU, ZAKO WANAFEDHEHESHWA HATA JELA WANATUPWA.MTOTO WA KIKE SUBIRI KUPENDWA NA UKIPENDWA PENDEKA .ONYO KUWA MAKINI NA MAPENZI YA SINEMA MAANA SISI WANAUME SEHEMU YENYE MAFUTA TUNAPAJALI KINOMA KWA MUDA TU PAKIKATA TUNATEMBEA SPIDI YA HATUA 240KWA DAKIKA. HALAFU HIYO KITU INAITWA FUTURE NDIYO NINI ?WANAWAKE HUWA MNACHEKESHA SANA ETI FUTURE WATU WAMEKWENDA KWA PAROKO WAKAFUNGA NDOA MIEZI SITA NDOA CHALI KILA MTO ANALIA KIVYAKE ANACHUKIA WANAUME WOTE. NARUDIA TENA KUWA UKIPENDWA PENDEKA .HAKUNA KITU AMBACHO WANAUME HATUKIPENDI KUPITA KIASI KAMA DHARAU HATA KAMA UNAYO PESA YA KUFA MTU UKIANZA KUNIFEDHEHESHA NA KUNIAMBIA SINA FUTURE JUA IPO SIKU NITAKUBWAGA KWENYE MAZINGIRA AMBAYO NDIYO UNANIHITAJI TOKA MAYONI .MWANAMKE ONESHA UNYENYEKEVU NA LUGHA NZURI KWA ANAYEKUPENDA. SISI WATOTO WA USWAZI TUNASEMA HERI SHILINGI MIA NZIMA KULIKO ELFU MOJA MBOVU. NAKUTAKIA SIKUKU NJEMA.
 
Duh mbona maneno yako yanachoma Kama shubiri haya buana ,
 
I wish jamaa angepita hapa aone atapendwa akishika hela bora atafune mapema alale mbele maisha sio magumu hivyo...
 
Kweli Atoto ,nifanyeje sasa
 
Wanaume tuko smart sana kabla hatujawavua vyupi, baada ya hapo sikilizia....
Mimi sio miongoni lkn
 
Yaani hapo ulimkubalia kwa sababu timu moja ilikuwa mbele kwa goli moja. Ningekuwa ni mimi wala ningejisumbua kukutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…