Nifundisheni Kumpenda

Kwa kuwa ni muhaya as me nakupa baraka zote kuanzia sasa upendo utaongezeka atakuwa mme wako kwa nguvu za mizimu ya mababu na mabibi
 
Mapenzi ni hisia na sio kufundishwa.

Tafuta utakayempenda.
 
Ndo huyo huyo kwa sasa hapo nyuma nilimjaribu kutafuta mtu kumbe alikuwa tapeli so kwa sasa Ni yeye pekee

Huna mvuto nini? Muda wote huo toka uachane na huyo tapeli hamna uliyemvutia bali ww ndio unasaka walioko masomoni?
 
Huna mvuto nini? Muda wote huo toka uachane na huyo tapeli hamna uliyemvutia bali ww ndio unasaka walioko masomoni?
Hahahahah wapo wengi Sana Ila sihitaji kila mtu kwa sababu tu Nina uhitaji
Halafu siwezi kuelezea kila kitu hapa
 
Hahahahah wapo wengi Sana Ila sihitaji kila mtu kwa sababu tu Nina uhitaji
Halafu siwezi kuelezea kila kitu hapa

Nitumie picha yako pm nijiridhishe, isije ikawa ni zile shape za matiti kama umekumbatia sungura na makalio pasi.
 
Nitumie picha yako pm nijiridhishe, isije ikawa ni zile shape za matiti kama umekumbatia sungura na makalio pasi.
nitumie kwanza ya sister maza na ant yako then nitatuma yangu,jinga sana
 
hisia hazilazimishwi kama hakuvutii kutoka moyoni mwambie ukweli najua itamuuma ila mwambie ukweli maana utapoteza muda wako utaingia kwenye matatizo pia na yeye utamiungiza kwenye matatizo...just be honest with him and you will thank me later na pia hata kama ktu awe nice vipi hata akupe mamilion ya pesa ila kam moyo haupo hauwezi ndio kosa tunalofanya wengi sana
 
A desperate singo maza...!!
Jua limezama sasa unaona ujirudi kwa anayeonesha nia angalau, huyo unayemuita Innocent akikutafuna mara moja tu ndo utajua kama ni innocent au mawindo tu..... usiku utapokwisha.
 
A desperate singo maza...!!
Jua limezama sasa unaona ujirudi kwa anayeonesha nia angalau, huyo unayemuita Innocent akikutafuna mara moja tu ndo utajua kama ni innocent au mawindo tu..... usiku utapokwisha.
Hahahahahaa haya Ni mawazo yako,sijawahi kuwa desperate,na haitatokea hata siku moja coz najuwa thamani yangu ndo mana nipo huru kujieleza ,ngekuwa unavyohisi singekuja hapa kuandika ningeficha Kama wengine

Kuzaa so ugonjwa kijana ,bado Nina nafasi ya kuchagua kilicho Bora na si Bora mwanaume ,waafrica mna mawazo mgando Sana ,acha ujinga elimika mifumo ya uafrica imekupolute akili .

Mwanamke anahitaji kujitambua ,kujiheshimu na si maswala ya kusema nimezaa
Sasa matasa waseme Nini
Waliotoa mimba je?
#man up you guy
 
The more you love the more you suffer
 
Ushauri wangu kwa huyo jamaa ‘msomi’ humble innocent, akimbie mbio nyingi sana.... na hata akianguka ainuke avumilie akimbie sana.

#ThankMeLater.
 
Na mm huwa hanijibu text na simu hapokei it means sipo moyoni mwake....

Daah kama ningekuwa mm nishajiachia fasta hapo
Watu tunatofautiana sana ndugu.
Hata mimi najiuliza,hivi inakuaje mtu anahangaika na mwanamke ambaye hamtaki?
Mimi nikiona dalili za mwanamke kunidengulia huwa nakata kamba chap kwa haraka.
Hakuna muda wa kubembelezana.
Siku hizi wanawake wengi kuliko wanaume,kwanini tusumbuane!?
 
Nimsaidieje??!
Mbona rahisi sana. Sisi wanaume tukiwa na wanawake tunaowapenda halafu huwa wanatushauri kuhusu mambo ya kazi huwa tunapenda sana. Hata ukimuambia afanye kazi ya ulinzi atafanya tu. Nakushauri masuala ya uchumi usiongee naye kwenye simu. Tafuta siku ambayo mko free, muulize baada ya kumaliza chuo anampango gani?
Hapa wanaume huwa tunakimbilia kusema nitatafuta kazi. Vizuri muulize itachukua muda gani mpaka kupata kazi? atasema hajui. Kama akikosa kazi anampango gani? Muulize je, utapenda kufanya biashara? Atajibu ndiyo. Biashara gani? Hapa ndiyo atataja ni biashara gani kwahiyo hapa mtapata kama aina 3 au zaidi ya biashara. Mtafanya mchanganuo kisha utamwambia unaenda kumkopea na pia inabidi afanye marejesho. Hii itampa nguvu na kujituma zaidi kwa kujua kuwa kila baada ya wiki au mwezi inabidi apeleke hela ya mkopo.
Kweli nimeamini mwanamke hupigwa kwa upendo wa dhati. Ukimpenda sana mwanamke halafu akakuacha, huko akikutana na masahibu lazima akukumbuke tu.
 
Mimi mwanamke nikimtongoza akizingua, siku hiyo hiyo napiga chini. Sijawahi kufuatilia mwanamke kwa siku 2 na wala haitatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…