Nifundisheni jinsi ya kutongoza mdada usiyemfahamu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieeleza hapo juu

Hapa najua kuna mafundi wa mtongozo kwa sana

Naomba watu ambao ni watalamu wa kuwavua chup wadada ambao hawawajui yaan ambao ndo wameonana kwa siku hiyo hiyo na wanaenda kuwapiga chuma siku hiyo hiyo

Mimi kwa kwer huwa nahangaika sana kumuvua chupi demu ambaye nimekutana naye siku hiyo hiyo mara nyingi huwa naogopa kama ataniona mimi ni mhun sana

Naomba mafund na watalam mje mtoe maujanja ili nas domo zege tupate maujanja

Domo zege karibu sana aisee

Mafund karbun sana

NITAPENDA ZAID KAMA WADADA NDO WATATUPA MAUJANJA YA KWELI MAANA WAO NDO WANAJUA TEKINIK ZAID KUSHINDA WANAUME

karibun sana

LONDON BABY
 
Mie napenda ichukue muda binti kumvua chupi,

Kweli binadamu tunatofautiana.
Kuna raha ya kucheleweshewa vitu bana.

Maana siku ukija kupewa unachanganyikiwa unakua hujui uanzie wapi kwa oroho.

Lakini pia kuchelewa kumvua chupi demu kunatumika ili kumfanya binti akuzoee, akujue,umjue.
Mapenzi ni chemistry,mapenzi si kujaamiaana tu.sisi si Kama wanyama.
 
Mkuu hili somo halihatiji mambo uliyoyasema hapo ambayo sijui kama ni ya kweli au uongo

Ni njia zp unaweza kutumia kumvua chup demu haraka
 
ongea watu kutoks mkoan Tanga huko ndio kuna mambo ayo ya ''waja leo waondoka'' mkoa mngne wanaiga tu...ufund uko Tanga
 
Nayo biblia haikukosea na ikadhihirika kua ni kweli wafuasi wote watakuepo katika kesi ya Lulu, napo patakua kimya na sauti pekee itakua ya Nuhu ikisema.

"Shishi baby, shishi baby tufungulie safina"
Duh poa mkuu
 
Mkuu hili somo halihatiji mambo uliyoyasema hapo ambayo sijui kama ni ya kweli au uongo

Ni njia zp unaweza kutumia kumvua chup demu haraka
Njia ya haraka ni" IMETHIBITISHWA UMEPOKEA KIASI CHA TSH,,,,,,,,,," mengine yote mbwembwe tu
 
Mie napenda ichukue muda binti kumvua chupi,

Kweli binadamu tunatofautiana.
Kuna raha ya kucheleweshewa vitu bana.

Maana siku ukija kupewa unachanganyikiwa unakua hujui uanzie wapi kwa oroho.

Lakini pia kuchelewa kumvua chupi demu kunatumika ili kumfanya binti akuzoee, akujue,umjue.
Mapenzi ni chemistry,mapenzi si kujaamiaana tu.sisi si Kama wanyama.
Kweli wewe msomi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom