Nifundisheni jinsi ya kutongoza mdada usiyemfahamu

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieeleza hapo juu

Hapa najua kuna mafundi wa mtongozo kwa sana

Naomba watu ambao ni watalamu wa kuwavua chup wadada ambao hawawajui yaan ambao ndo wameonana kwa siku hiyo hiyo na wanaenda kuwapiga chuma siku hiyo hiyo

Mimi kwa kwer huwa nahangaika sana kumuvua chupi demu ambaye nimekutana naye siku hiyo hiyo mara nyingi huwa naogopa kama ataniona mimi ni mhun sana

Naomba mafund na watalam mje mtoe maujanja ili nas domo zege tupate maujanja

Domo zege karibu sana aisee

Mafund karbun sana

NITAPENDA ZAID KAMA WADADA NDO WATATUPA MAUJANJA YA KWELI MAANA WAO NDO WANAJUA TEKINIK ZAID KUSHINDA WANAUME

karibun sana

LONDON BABY
Unamwaga bonge la salio
 
Mi mara nyingi nikiwa nimeazima gari ndo huwa nafanya hiyo michezo.
Nikimkuta yuko loose (yaani amekaa staili za kuhitaji usafiri au ananiangalia sana ninavyovuta mguu na pia uwe na saikolojia ya haraka kujua hilo) hakikisha ni sehemu ambayo hakuna watu saanaa... Afu fanya hivi.

Mambo vipi mdada.. Unaelekea wapi nikuvute kidogo... (hapa atakuwa kama kastuka ila ni zuga tu alishaelewa)
Akisema asante nimeshafika huyo anahofu ila ukikaza unabeba.
Akikubali unaenda nae... ishu inakuja ukiwa ndani ya ndinga

Kama umezimikia zigo kikweli unakubali kuchoma mafuta tu. Kwa staili hiziii....

Daaa mambo vip mdada... (poaa)
Unaelekea wapi (atakwambia)
Sa umekubalije kupanda gari la mtu usiyemjua we hujui dunia ilivyobadilika au ulivyoniona tu ukaniamin mi ni mtu mwema (he he he...... Ndio unaonesha sio mtu mbaya)

Hahaha haya bhana ni kweli watu wengi wanasema hivyo ila wakati mwingine hata watu kama sisi n wabaya vilevile. ...
(haya)
vipi unaweza kupiga mbizi Wewe.... (mhhh kiasi sio sana)

Mi napiga mbizi mithili ya samaki (akionesha tabasamu kitu na box)

Huwa mara nyingi nikiwa sina kazi kama leo huwa naenda huko kupata kidogo maji. (atakuuliza kwahiyo unaenda kuogelea saivi)

Hpana kuna sehemu napita kwanza ndo ntaenda.
Vip nawe leo uko tyte sana kwenye mishe zako?
(hapana sio sana by saa 10 ntakuwa nshamaliza)

Ok ukiwa free unaelekea wapi (narudi nyumbani)
Kwahiyo naweza nikakucheki mida hiyo afu nikakufundishe kupiga mbizi.?

( ataguna kidogo. Afu ataanza kukuhoji maswali fuln hivi ya kukusoma ili asiingie mkenge jitahidi kujibu kwa kujiamini huku ukionesha hata wewe pia hupendi mazoea na watu usiowajua)

Yan mi napenda maeneo hayo upepo mzuri siunajua naweka akili itulie. (ni kweli)

Baadae kidogo...............................,...
Unamvutia waya

Oyooooo
Mambo vip mdada ..unanikumbuka nilikupa lift asubuhi. (anhaaa nimekupata mambo VIP)

Hapo utafanya kama mlivyokubaliana afu jitahidi kidogo umlipie kiingilio na mengineyo.

Daaaaa ikifika hapo huwa ninawin sana maana wanawake ukishawashika maeneo fln wakati wa kuogelea anapoteza fikra zote yani anakuwa closed minded Woman. Anawehuka na wewe ni kutafuta tu sehemu kumaliza kazi yani hata hana shida.

Ni easy steps tu hizo ila mengine yanajitokeza usipojua kucheza na akili yake.
 
Labda tuu nianzie hapa, hakuna mtu anayemtongoza mwanamke hasiyemfahamu na akafanikiwa.. labda tuu mwanamke huyo kama anajiuza...

Unapotaka kumtongoza mwanamke, lazima muanze kufahamiana kwanza hlf kutongoza kunafata, sasa sijajua... we shida yako ni jinsi ya kumuingia mwanamke husiyemfaham il mfahamiane au sanaa nzima ya kutongoza haipo kichwan?
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieeleza hapo juu

Hapa najua kuna mafundi wa mtongozo kwa sana

Naomba watu ambao ni watalamu wa kuwavua chup wadada ambao hawawajui yaan ambao ndo wameonana kwa siku hiyo hiyo na wanaenda kuwapiga chuma siku hiyo hiyo

Mimi kwa kwer huwa nahangaika sana kumuvua chupi demu ambaye nimekutana naye siku hiyo hiyo mara nyingi huwa naogopa kama ataniona mimi ni mhun sana

Naomba mafund na watalam mje mtoe maujanja ili nas domo zege tupate maujanja

Domo zege karibu sana aisee

Mafund karbun sana

NITAPENDA ZAID KAMA WADADA NDO WATATUPA MAUJANJA YA KWELI MAANA WAO NDO WANAJUA TEKINIK ZAID KUSHINDA WANAUME

karibun sana

LONDON BABY
Kiongozi wa JF hivi mnamchukuliaje mdau ambaye kwa akili zake timamu na kwa makusudi anaharibu uandishi wa Lugha nadhifu ya Kiswahili kama huyu Meira Baby Boy.... Mnaonaji katika kukienzi Lugha yetu tamu na nadhifu ya Kiswahili Mchafuzi wa Lugha kama huyu kupigwa ban ya wiki ili aendelee na kusubiria matokeo ya Form four na kuwasaidia wazazi majukumu ya Nyumbani?
Invisible Admin1988
 
Back
Top Bottom