Nifundisheni jamani

Nifundisheni jamani

Kumbe ni kweli usikihukumu kitabu kwa kuangalia jalada lake. Nikuangalia avatar yako, sikutegemea kama una maneno ya busara hivi. Haya mfunde kijana.

Mpeleke mkufu wa dhahabu au kadi la gari, hata kama umefanya jikosa gani basi UTASAMEHEWA na halikumbushiwa kamwee. Ukienda na mineno tu ambayo hata kwenye khanga ipo, waweza samehewa ila ndo UTATUMIKIA KIFUNGO BUBU ambacho ukijamba tu KESI INAANZA KUSIKILIZWA UPYAAAAAAAA, utaishi kwa kujibana miaka nenda rudi. Ukikosea kijitu tudogo tu, mashtaka yanaanza upyaaaa. FREEDOM IS EXPENSIVE!!!!!!!!!!!!
 
Inahusu Kabisa Hii!!
Mimi Nimedinda Kutorudi Aisee,Ingawa Nakumbuka Na Kuumia Sana Juu Yake!
Mtu Mmoja Kuumbwa Kwa Ajili Ya Kutesa Hisia Za Mwenzie!!?
MBAAYA SANA HII!
 
Nimekorofishana na mpenzi wangu ninayempenda sana, kwa kweli japo amenifanyia kitendo kichafu sana na nikamwambia mimi na yy bas lkn nampenda sana,Na nimeamini kwa sasa bila yeye citaweza,....ombi langu kwenu ni maneno gani matamtam ya kumwambia ili ajirudi?....umri wangu hauhusiki[/QUOTE

Yaaaani wewe ndiyo lofa kweli.
Yeye ndiyo amekufanyia kitu mbaya alafu wewe huyo huyo ukamuombe msamaha, labla wewe ndiyo mkosaji?
 
ulitoa mkwara kuwa wewe na yeye bhaaasss!!!
sasa tafuta mkwara mwingine wa kumrudia ili akufanye zombie hahahahaaa(msemo LARA1 )

unafikiri bhaas inasemwaga hivihivi eeenhhh...................:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
wewe umemfunia akimegwa na jamaa yako halafu na safari hii ni mara ya pili unataka kuridiana naye, akili hiyo?
 
Heh! Kosa moja haliachi mke babu weeeh! Koma kabisa
Ondoa ujinga huo huwez kuishi bila yeye kwan amekushikia pumzi..ukisikia uzoba ndo huo..mtu hawez kufanya kosa yeye then msamaha ukaombe wewe..u will be her slave for life...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimekorofishana na mpenzi wangu ninayempenda sana, kwa kweli japo amenifanyia kitendo kichafu sana na nikamwambia mimi na yy bas lkn nampenda sana,Na nimeamini kwa sasa bila yeye citaweza,....ombi langu kwenu ni maneno gani matamtam ya kumwambia ili ajirudi?....umri wangu hauhusiki

Weh! Yaani umefanyiwa kitendo kichafu then unataka uombee msamaha wewe,ama kitendo hicho kichafu si hichi ninachokijua mimi?
Kama ndiyo kitendo hicho ninachokijua mimi then unataka kumuomba msamaha wewe bila shaka itakuwa ulifuraia hicho kitendo kichafu.And why now.
 
Mpeleke mkufu wa dhahabu au kadi la gari, hata kama umefanya jikosa gani basi UTASAMEHEWA na halikumbushiwa kamwee. Ukienda na mineno tu ambayo hata kwenye khanga ipo, waweza samehewa ila ndo UTATUMIKIA KIFUNGO BUBU ambacho ukijamba tu KESI INAANZA KUSIKILIZWA UPYAAAAAAAA, utaishi kwa kujibana miaka nenda rudi. Ukikosea kijitu tudogo tu, mashtaka yanaanza upyaaaa. FREEDOM IS EXPENSIVE!!!!!!!!!!!![/QUO
unapenda vitu vya kupewa sana sijui huyo jamaa ako anapata msoto namna gani?? kama mwanzoni walipopendana vitu hivi havikuhusika kwa nini sasa? huoni hii itakuwa exploitation? duh naona unataka kurudisha ukoloni kwa gia ya mapenzi.
 
Napenda vya kupewa si utani, na bwana wangu ANAPENDA KUHONGAAA HUYO ILI KUWEKA HESHIMA NANI MWANAMKE NANI MWANAUME!!!! Nikibipu tu yeye anapiga coz anajua MWANAUME ASIFIWI SURA ILA BANK ACC NA UJAZO WA WEKUNDU KWENYE WALLET!!!! Kwetu huku mwanamke akikupa chake kimbia hakawii kukusuta! Huku tupo ukoloni kwelie, wanaume striker afu wanawake magoal keeper kama enzi za mababu. Upo hapo?
 
Hahaaa lara 1 kwenu ni wapi? huyo mwanaume wa kumchuna namna hiyo una future naye? ni sawa kwamba mwanaume anasifiwa wingi wa wekundu zake but hiyo haimaanishi nikiwa na pesa ni invest kwenye starehe zako tu kuna mambo mengi ya kufanya na pesa (needs are unlimited while resources are always scarce). Wewe kama msichana utapata vijizawadi tu vya kawaida haimaanishi nikija kwenye maisha yako nakuwa kamradi hiyo sahau pande hii...ila hongera kwa kumpata huyo anayekwimbia chop my money naamini zikiisha kwa kufukuzwa job au kufilisika wewe huyooo una enda kutafuta kibopa mwingine..
 
Si umwabie umegundua bila yeye hauwez kama ulivyoandika?Yeye si ndo huwa anakuboost?
 
Hahaaa lara 1 kwenu ni wapi? huyo mwanaume wa kumchuna namna hiyo una future naye? ni sawa kwamba mwanaume anasifiwa wingi wa wekundu zake but hiyo haimaanishi nikiwa na pesa ni invest kwenye starehe zako tu kuna mambo mengi ya kufanya na pesa (needs are unlimited while resources are always scarce). Wewe kama msichana utapata vijizawadi tu vya kawaida haimaanishi nikija kwenye maisha yako nakuwa kamradi hiyo sahau pande hii...ila hongera kwa kumpata huyo anayekwimbia chop my money naamini zikiisha kwa kufukuzwa job au kufilisika wewe huyooo una enda kutafuta kibopa mwingine..

ITS SO SWEET THATS WHY HE IS PAYING 4 IT!!!!!!!!! Kawa kama teja la unga vileee. NO MATTER HOW MUCH I CHARGE HE WILL PAY FOR IT!!!!! LOLEST! Hawezi kufulia coz anajua happines yake inadepend kwenye mifuko yake lazima akabe hadi peanalty
 
a man who fears is weak and is a slave..so ur one of them..ila jitahid umuombe msamaha...then lia jicho moja litoe chozi wkt lingine ni kavu kama bundi..lazima atakusamehe..tu..amini hivyo..bwana slave..
 
ITS SO SWEET THATS WHY HE IS PAYING 4 IT!!!!!!!!! Kawa kama teja la unga vileee. NO MATTER HOW MUCH I CHARGE HE WILL PAY FOR IT!!!!! LOLEST! Hawezi kufulia coz anajua happines yake inadepend kwenye mifuko yake lazima akabe hadi peanalty

HAAAAA...HAPO KWENYE SO SWEET NIMEKUBALI AISEE.umeshinda kwani kwa kuujua udhaifu wake una uhakika wa kula mua bila kukuta fundo ni full utamu wa pesa mwanzo mwisho.
 
kama kweli amekufanyia kitendo kichafu sana uamuzi wako wa awali ni sahihi, lakini kama ametambua kosa na kakuomba msamaha msamehe, cha msingi ni kwamba atambue kosa alilofanya na a-promise kutokurudia tena ila ukilazimisha kurudiana naye pasipo kusolve hilo tatizo elewa kwamba unampa go ahead ya kurudia kosa kama hilo au zaidi ya hilo.
 
Back
Top Bottom