Nifundisheni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifundisheni jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kima mdogo, Oct 23, 2012.

 1. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekorofishana na mpenzi wangu ninayempenda sana, kwa kweli japo amenifanyia kitendo kichafu sana na nikamwambia mimi na yy bas lkn nampenda sana,Na nimeamini kwa sasa bila yeye citaweza,....ombi langu kwenu ni maneno gani matamtam ya kumwambia ili ajirudi?....umri wangu hauhusiki
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Muombe msamaha na kumwambia unajutia kukorofishana naye; na kutengana kwenu kumekufanya urealize ni jinsi gani ni ngumu kuwa mbali naye.

  Usiache zawadi na maua/card!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, pole
  umeiziria serikali?
   
 4. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yaani amekukosea halafu unahangaika kutafuta maneno tamtam!! kweli mapenzi upofu! akuombe kwanza msamaha halafu uje upewe mbinu za kumtuliza.
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mpeleke mkufu wa dhahabu au kadi la gari, hata kama umefanya jikosa gani basi UTASAMEHEWA na halikumbushiwa kamwee. Ukienda na mineno tu ambayo hata kwenye khanga ipo, waweza samehewa ila ndo UTATUMIKIA KIFUNGO BUBU ambacho ukijamba tu KESI INAANZA KUSIKILIZWA UPYAAAAAAAA, utaishi kwa kujibana miaka nenda rudi. Ukikosea kijitu tudogo tu, mashtaka yanaanza upyaaaa. FREEDOM IS EXPENSIVE!!!!!!!!!!!!
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Teteteteh shosti lara 1 bora umerudi nilianza kujisikia mpweke.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kama una uwezo mnunulie kitu ambacho alikuwa anakitaka sanaaaaaaa.....

  Tahadhari mwenza akikosa ukatangaza kuachana, then ukaomba msamaha jiandae kuwa mtumwa wake
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mapenzi ni upofu
   
 9. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Ondoa ujinga huo huwez kuishi bila yeye kwan amekushikia pumzi..ukisikia uzoba ndo huo..mtu hawez kufanya kosa yeye then msamaha ukaombe wewe..u will be her slave for life...

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Bado sijarudi vizuri, ujue bosi kasafiri basi ndo nakaimu (Kuanzia leo simjungi tena mkuu, nimekoma, daaaah! Mi nilikuwa najua anazuga zuga kumbe mikazi pale ndo kwao. Ulimi nje!) Afu UVCCM na UWT nazo nakomajeee kushabikia na kutia campeign!!!!!
   
 11. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  ushauri kiboko,kama mtu hakuwahi kuwaza kuwa fisadi itambidi aanze nao ili kutimiza wajibu huo.
   
 12. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Kwano alikufanyia nini kiasa cha kuona kutengana ndiyo njia ya kutatua tatizo?!
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jiandae kuwa *****
   
 14. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Inabidi ukaimu mpaka parking,,, kuna muhuni alikaimu nafasi ya manager job, kuonesha anajua kutumia nafasi akaingiza ki baby walker chake kwenye reserved parking ya mkuu, kila mtu akifika kwenye parking tu anacheka mwenyewe
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha
  unaweza kumfanya mtu aanguke kwa pressure!

   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  I'm Ray charles to the britney spears initials,Thats no B-S
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mwambie unaomba msamaha tena huku umepiga magoti ikiwezekana na unadondosha na chozi.
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Mbona unajichanganya ndugu, uamuzi wako wa kwanza ndio ulikua sahihi.
  Jiandae kufanyiwa uchafu tena pindi utaporudiana naye.
  Binafsi ninaamini kama yeye ndiye mkosa basi alipaswa kujuta kwa alilokufanyia na ndiye angalikuwa wa mwanzo kuomba uhusiano urudi.
  Acha kuwa desperate there are so many good girls out there!
   
 19. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Eeeh umekosewa wewe msamaha uombe wewe

  ama kweli sizitaki mbichi hizi, haya nenda kagalegale ulie mbele zake hadi kamasi likutoke..
   
 20. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  rudi mwana ukichelewa utakuta rafiki yako anat.o.m.b.a huyo demu wako
   
Loading...