nifumbueni tafadhali.

Kwani wewe huwezi tafuta mwingine? kwa nini u shee manamke na mtu mwingine? kweli unakubali kabisa kuwa someone's second choice? "you are either with me or not" .....
 
Kwani wewe huwezi tafuta mwingine? kwa nini u shee manamke na mtu mwingine? kweli unakubali kabisa kuwa someone's second choice? "you are either with me or not" .....

sijamuunga mkono kabisa katika hlo,ndio maana nipo hapa kuomba msaada na ushaur wako.
 
anataka kukufanya kidumu au pipa? au anakupima uwezo kama umemtaman o umempenda
 
sijamuunga mkono kabisa katika hlo,ndio maana nipo hapa kuomba msaada na ushaur wako.
Wengi wanasema sikiliza moyo wako, mi nasema tumia akili yako, usikubali kufanywa chaguo la pili.Kwani si unajiamini bwana! Utajisikiaje akikuambia ''leo niko na bf namba 1?''
 
Mnashauriana ujinga tu!

haya ni mapenzi,na kama hujapitia hili kuna muda utafika nawe utapitia,jf ni mahali pa kukusanya mawazo tofaut tofaut ya watu ili siku 1 uchanganye na yako then utatue tatizo,kila mtu ana mawazo yake,sina budi kuyakubl na kuyaheshmu.
 
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.
you do no hw to deal with women, so you are waiting akuchukulie hotel? Sioni njia panda, me naona umemweka huyo dada ktk junction, sasa anataka kuingia kwenye road yako....
 
Hivi una umri gani mkuu na mapenzi umeanza lini?
Haufanywi back-up ila ndio umekuwa promoted hivyo

so ina maana telling me kwamba anaweza kunipa chance ya 2nd boyfrnd ameshakubli na mimi natakiwa nikubli kuwa hvyo?
 
Watoto wa kishua na nyie bwanaaaaaaaaaa! Ndo maana tunawachuna hadi mifupa! Mmekaa kifogo fogo!

Yaani usipojiangali you wont get any hadi ugonge 28! TIMES HAVE CHANGED! Siku hizi you take what you want! I bet hapo unangoja hadi Manzi akwmbie im ready for you today! Tafuta room nikakupe! Msheeeeeeeeeew!!!!!!!!!! Utangoja sanaaaaa!

Embu someka kidigitali! Tengeneza mazingira, anza huo mchezo wenu wa baba na mama, ikianza wet kiss komaaa upewe mambo hayo! Even if it will involve you to beg! Jst beg, persuade, trick whatever gets you laid man! You are pathetic!

Ukishampiga dushelele heshima itarudi na atakuwa hakuadisii ishu za bwana wake tena! Stop being a doll and taken advantage of! Kama joka la kibisaaaa! You are a disgrace to Digital Mnakind!

Jipange ule vituz hivo, maisha ni leo kesho majaaliwa!

Im a bad influence to society and i know! You dont have to reap tellin me! Thank you all!
Now thats what we call "Beauty with Brains"Unanikoshaga sana we mtoto basi tu
 
mmh watch out meeen coz u gona be stuck there bt kama ana swow lv take her, when happynes comes to you it never says hllw so you choose to accept it or reject
 
Alidhani akikukubalia mapema ungemwona kiruka njia. Mbona kawaida sana hzo mkuu? Over 75% of them ndio jibu lao then wanafanya editing baada ya muda.
 
kaka unalala weweeeee, ngoma tayari imeshajiunga yatosha. unasubiri nini du. mimi kuna mpangaji mwenzangu nasubiri aniulizege hvyo maana namtamani mbaya ana bonge la dusherere orijino.
 
Hivi matokeo yako ya darsa la nne kuingia la tano umeshayapata mkuuu?
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom