Nifate taratibu zipi kupata FIRE SAFETY certificate na OSHA certificate kwa ajili ya kampuni/kiwanda

Kama huko dar nenda ktk ofisi zao wako nyumba ya kinondoni b,au Barbara ile kama unaelekea mahakama ya wilaya kinondoni....wako hapo huko utapewa taratibu zote
Hapo unazungumzia watu wa osha au fire safety mkuu..
 
Back
Top Bottom