Nifanyeje?

Nifanyeje?

Joined
Apr 22, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Jaman mm mwanamme waukel kabisa lakin mungu hajanijalia kua na maneno mazur ya kumwambia mwanamke,mfano km kumtongoza na mambo mengine,nna iman wapo watu wana kila njia ya kumpa maneno mazur mwanamke na kumtongoza,
na waomben jamni mmnisaidie msaada huu......!
 
Dogo mwanaume wa ukweli anapaswa kujiamini, wewe tatizo lako si kuwa huna maneno ya kuongea, ila haujiamini unapokuwa mbele ya vimwana. Ukijiamini maneno yanakuja yenyewe, na kwa taarifa yako siku hizi wanawake wala hawahitaji maneno mengi kuwaweka sawa, kama amekupenda hata ukizungumza neno moja atakuelewa.
Una umri gani?
 
tafuta hela kijana hiyo ndio itaongea on ur behalf
 
Back
Top Bottom