Fanta Face
Senior Member
- Mar 10, 2011
- 138
- 21
badilisha simu,simple!
na ukate mawasiliano na huyo baba waache wajenge ama kuibomoa nyumba yao wenyewe ,
huyo mzee akikutafuta mueleze umeshindwa kuvumilia matusi ya mkewe.:ballchain:
Sasa wewe presha ya nini?Ondoa jinsi ya huyo mama kuwasiliana na wewe!
Unashindwa nini kublock simu na msg zake?Kama simu yako haina hizo option basi ignore msg na simu usipokee!Hamna kingine unachoweza kufanya!Na huyo mwanamke hanazo kweli...alishindwa nini kukataa hilo jina wakati linatolewa mpaka aje kutukana sasa hivi?Huyo baba hata simu zake wala msg siku hizi sizijibu kabisa wala sitaki mawasiliano nae tena. kubadilisha simu na hiyo ndo nimeweka kwenye CV natafutia kazi maana nimemaliza chuo tu bado sina kazi
Kama unaweza mwombe huyo mzee kama anakuheshimu kwa kukuondolea kero unayopata kutoka kwa mkewe...abadili jina la mwanawe!Ananikosesha raha sana. Nitaondoaje dada
Unashindwa nini kublock simu na msg zake?Kama simu yako haina hizo option basi ignore msg na simu usipokee!Hamna kingine unachoweza kufanya!Na huyo mwanamke hanazo kweli...alishindwa nini kukataa hilo jina wakati linatolewa mpaka aje kutukana sasa hivi?
Simply ignore sms, dont answer calls, do not react in any way in case you meet (japo ngumu kidogo kibinadamu). Kubadilisha namba ya simu inaweza saidia. Lakini naona kuwa ni ghali sana kubadilisha namba ya simu kwa aijili ya mtu mmoja. Si ughali kipesa, ila kumbuka kuna watu kibao ulio wenye namba yako. kumpa taarifa mmojammoja ni kazi kidogo kwa mfano mi nina contacts za watu around mia saba na 80% ni active.
linganisha kati ya mawili.
Kama unaweza mwombe huyo mzee kama anakuheshimu kwa kukuondolea kero unayopata kutoka kwa mkewe...abadili jina la mwanawe!
unatumia cm ya aina gani?kama vp nikuelekeze namna ya kubloock cm zao zisiingie.
Unahangaika na nini mama, kaa kimya tu wala usijibu lolote badae yatatulia, yanini kuyafikiria sana hayo? Just keep yourself busy!
wanaume wengine wanapenda hovyohovyo........
sasa hapo atakuja kumwambia mwanae unajua nilikuwa nina girl friend nilimpenda sana dini ikatuzuia kuoana, nikaamua kukupa jina lake?
hee!!
And for you, hebu mu-ignore bana! au kama vipi mpe na yeye za usom kwani matusi huyajui? NikuPM namba ya DaSophy akupe shule.