Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 274
- 549
Ndugu zangu mwaka jana nilipata chuo pale makao makuu. Sasa nilibidi niache maana sikupata mkopo na mimi ni diploma holder na pia course niliyochaguliwa ilikuwa priority.
Sasa sijakata tamaa safari hii nataka niombe upya, sasa nitumie mbinu gani hawa heslb wanielewe msimu huu maana diploma nilimaliza toka 2017 na je toka kipindi hicho bado watakubali kunipa mkopo? Au waliomaliza diploma wanapaswa kupewa mkopo kwa waliomaliza mwaka gani?