Hujamuelewa? Msiba, harusi, vikao vya ulinzi shirikishiTukio la kuwakutanisha?
Nilipohamia sehemu flani Yule jirani wa karibu nilienda kumsalimia.Tangu nimehamia hapa mtaani ni takriban mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
Jilipue weka ka party alika majirani wote wale na wanywe kana kwamba una birthdayTangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
Ni bora kabisa kujitenga. Kadri unavyokuwa mbali na wengi,ndivyo unavyokaa mbali na matatizo. Kadri unavyokuwa na marafiki wengi ndivyo unavyokaribia kupata matatizo mengiKind of life I like
Pambana mkuu utoe toe salamu upate namba, ucoment status zao na mtajikuta mmezoeana.
Ila kwa upande wangu nachagua kujitenga
Same to me.Kind of life I like
Pambana mkuu utoe toe salamu upate namba, ucoment status zao na mtajikuta mmezoeana.
Ila kwa upande wangu nachagua kujitenga
Ila yote kwa yote kwani hata hao kwa hao ulipohamia ulikuta/umeona kuna mazoea ya kusalimiana?
Don't pretend like you're alone in this world, you're not alone at all. Na kuna maana yake ya wewe kuumbwa miongoni mwa wanadamu wenzio.
Compatibility!!!
Binaadamu tumeumbwa tuishi kijamii na nature imewekwa tukae hivo. Hakuna mtu asiyemuhitaji mwenzie hadi uone kua majirani si kitu au ushindwe kuingiliana nao.
Trust me nature inaweza kukupiga tukio moja tu hadi wewe mwenyewe ukarudi kwenye mstari... Mtoa mada kabla nature haijachukua njia zake get out na usalimiane na watu usije jutia. Tumeumbwa kama vidole vya mkono kidole kimoja hakiwezi jitenga pekee yake halafu kiseme kinaweza kutengeneza ngumi.
Kidole gumba ni kikubwa ila kinategemea vidole hivi vidogo kushirikiana ilie watengeneze ngumi imara. Hata kama una uwezo mkubwa mate hado hao watu wa chini unawahitaji kuliko kawaida.
Kama hakuna kakioski hapo nje na ww hunywi basi itazidi kuwa ngumu sana.
Labda ujitoe muhanga weekend moja jpili ufanye tour kwa mmoja hadi mwingine. Matokea yaweza kuwa hasi na chanya.
Kingine hamnaga hata vikao vya mtaa?
Kama unasali jumuia pia huwo ndio wasaa utakutana nao huko.