The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Tafuta hela.Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Sasa mpe mbinu naye amiliki japo kibajaji kama changu cha mkopoWewe tu humu ndo umekiri huna gari ila si wenzio wote humu
1. Tuna mavuogue
2. Tuna majumba
3. Tunatumia simu kali mno
4. Tuna madigree yetu mzee
Nyumba ipoKabla ya gari Nyumba unayo??
Ndio natafutaTafuta hela.
Tumia maarifa hayo hayo yalofanya ujenge ili utimize lengo la sasa...Nyumba ipo
Ndio mkuu,ni ya urithi[emoji24]Tumia maarifa hayo hayo yalofanya ujenge ili utimize lengo la sasa...
Au nyumba ya "urithi" mkuu???[emoji3]
Penye nia tu pana njia. Anza hata na kununua tairi halafu rimu ndiyo usukani. Kidogo kidogo hujaza kibaba. Au kama vipi nenda kwenye screpa mbona utapata?? Pitia sehemu za Masaki, Obay na kule Ohio st. Ukiona gari imepaki mahali hadi majani yameanza kuota chini yake, hilo ni dili. Waweza enda uliza bei ukaambiwa kuwa utapewa hela kuiondoa hapo na kwenda kuitupa.
Swali la kizushi; Wataka kumiliki gari au kadi ya gari iliyoandikwa jina lako??
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Chukua ela ulizonazo kanunue gari kama azitoshi uza biashara yako yote kama azitoshi pia nenda bank kakope.
Lengo lako litakua limekamilika.