Panda Dar Lux...ukifika Ubungo Dar sio ya kupotea utafika unakokwenda uzuri kabisa. Zingatia haya:
1. Kama bajeti inaruhusu siku utakayofika tumia Taxify au Uber kule uendako
2.Ukiingia Ubungo bus terminal nenda ofisi za utawala uliza swali lako kwa Afisa Usalama aliepo atakuelekeza
3. Piga simu kwa mwenyeji wako
4. Anzisha sledi yenye kichwa NIMESHAFIKA DAR wenyeji tutakuelekeza nini ufanye ili usipotee.
Karibu Dar wamkoani huku chakula kikuu vyepe...ila ukizingua tuna panya road tutaagiza wakudhibiti.
N'yadikwa