Nifanyeje nisipotee Dar?

Dar Lux hazishushii ndani ya stendi ya ubungo, zinashushia kwenye ofisi yao shekilango, na hii itamsaidia sana coz hapo hakuna heka heka za watu wengi hata wahudumu wa ofisi watamuelekeza vizuri
 
Dar Lux hazishushii ndani ya stendi ya ubungo, zinashushia kwenye ofisi yao shekilango, na hii itamsaidia sana coz hapo hakuna heka heka za watu wengi hata wahudumu wa ofisi watamuelekeza vizuri
Mkuu,
Naomba kujua ubora wa huduma za Dar Lux kwa ujumla.
Na Nauli ni kiasi gani kutoka Dar-Mza?
 
kuna mtu ameshauri ushukie Kibaha kwa Mkuu Mshana Jr hakika usiudharau ushauri huu..... ni muhimu kwako!
 
Naona wengi mnapangia kupanda DAr Lux na kama yeye anapanda Fast jet au zile Dreamer sijui dream je?
 
Mkuu umetiririka vema, ila hapo kwenye 'SLEDI' na 'PANYA ROAD' nimecheka mpaka basi 😀😀😀😀😀. Acha nimalizie ka-kazi hapa, niwaoneshe washikaji tucheke tena...
 
Tumia google Map mrembo , weka location yako ulipo na unapotaka kwenda, itakuonyesha njia sahihi ya kupita.
 
Njoo pm mtoto wa kisukuma nitakupokea na kukutafutia mahali pa kulala na kukutembeza mji mzima uliojaa majengo marefu yanayovutia mpaka usahau hilo gorofa lenu la bugando huko mwanza
Capacity ya Bugando ni 900 beds. Bugando ina heshima yake
 
Ukianza kuja nistue mkuu ntakupokea mwenyeji wako nipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…