Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Wanawake hawaeleweki. Babu aliwahi kunieleza kuwa siku ukiona umemwelewa mke wako,kifo chako kimekaribia.
 
Mim nlidhan yy ndo kakubebea vitu kupeleka chumba cha wagen,kumbe ulipeleka mwenyew?virudishe kama ulivyopeleka over
 
Nyie watu mmezidi umbea yan mada hiii imenikuta kwenye magruop ya whatsap uko?
Duh! Na mmeo bila shaka atakuwa keshajua
Jf tuache huu upuuzi wa kupeleka mada za watu au kusambaza sehemu nyingine
Ya huku yaishie huku hasa kama ni private issue
 

Huyu jamaa alifanya kitendo cha hatari sana. Angepoteza mke na watoto. Hizi tabia sio za kuencourage kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi abaki huko huko chumba alichohamia.

Yeye ndie anaetamani kurudi chumba cha awali, hapa anapewa mbinu za kurudi.

Angetaka pia kusepa mazima, wananzengo wangempa namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mzima aloamua kuolewa unafikiri yakimfika atatafuta wananzengo kumuonesha mlango wa kutokea??? Atatoka tu mwenyewe ata kupitia juu ya paa
 
Kusamehe ni kwa faida yako ona sasa wewe unateseka Licha ya kwamba wewe ndo umekosewa yeye anakula maisha, rudi tu maana ni kwako husubiri ruhusa ya mtu ila jifunze kusamehe hata kama haujaombwa msamaha
 
Mtu mzima aloamua kuolewa unafikiri yakimfika atatafuta wananzengo kumuonesha mlango wa kutokea??? Atatoka tu mwenyewe ata kupitia juu ya paa
Acha kumpoteza mwenzio. Kwani atapungukiwa nini?! Ataingia mkenge bure. Ushauri mbaya sana huu..😦😡😠
 
Kyaaah

kelphin kepph
 
Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Hapa nasikilza wimbo mmja hivi was bahati bukuku

Wanandoa wakikaa miaka mingiiiii hi,.
Wanaanza kufanana sura zao,
Kama si kwa sura hufanana kwa tabiaa ah,
Hiyo yote Ni agano lako mungu [emoji4][emoji4][emoji6][emoji6][emoji6][emoji38]

kelphin kepph
 
Hahahaaa alikoma[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa alikoma[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumpoteza mwenzio. Kwani atapungukiwa nini?! Ataingia mkenge bure. Ushauri mbaya sana huu..😦😡😠
Kuna mahali nimempa ushauri au nimejisemea kwa hali halisi mtu yakimshinda hakunaga ushauri anatoka tu mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…