Nifanyeje nipate demotion kazini?

Hilo ni suala Dogo mkuu, andika barua ya kujivua madaraka tu boc, kama ni Mwl.peleka kwa ngazi zote naamini ombi lako litakubaliwa,haiwezekani MTU akulazimishe madaraka .
 
Tumelogwa madam...... nidhamu ya woga tu ndio inatusumbua
 
Mtukanie mama ake huyo bosi wako,kila kitu safi kabisa!
 
Tafuta shule ukasome, hata kama ya muda wa mwaka mmoja na ikibidi kujilipia fanya hivyo, utakuwa umebadili mazingira, baadaye utajua nini ufanye. Demotion sio nzuri kwenye kazi.
 
Kwanini demotion? omba kwenda kusoma hata course fupi ujilipie ukirudi utakuta wameweka mtu mwingine
 
Anzisha vagaranti hapo ofisini wakushushe cheo mkuu
 
andika barua kupitia mkuu wa idara,ded ukieleza tatizo kwenda tamisemi ila jiandae kuhamishwa kituo ambacho unaweza ukaumiakm hujakunjua moyo maana wanaweza sema ukibaki hapo un aweza msumbua ki8ongozi mpya.
 
Tafuta shule ukasome, hata kama ya muda wa mwaka mmoja na ikibidi kujilipia fanya hivyo, utakuwa umebadili mazingira, baadaye utajua nini ufanye. Demotion sio nzuri kwenye kazi.
nimefurahia sana huo ushauri
Kwanini demotion? omba kwenda kusoma hata course fupi ujilipie ukirudi utakuta wameweka mtu mwingine
nipenda sana huo ushauri
andika barua kupitia mkuu wa idara,ded ukieleza tatizo kwenda tamisemi ila jiandae kuhamishwa kituo ambacho unaweza ukaumiakm hujakunjua moyo maana wanaweza sema ukibaki hapo un aweza msumbua ki8ongozi mpya.
nimeupenda sana huo ushauri naimani ataufanyia kazi ni rafiki yangu sana.
 
Siyo kila ofisa utumishi ni rahisi kupigika chukulia huyo mwanaume kwenye hii video ndio ofisa utumishi ubavu wa kumpiga unao?

Mkuu pole.I can imagine usumbufu na stress unayopata,kwa kuwa Mimi pia nilikuwa mkuu wa kituo cha kazi kama wewe.Mbaya zaidi mkuu wangu wa kazi wa wilaya alitaka kunihamishia vijijini ambako,kwa hesabu za haraka nisingekuwa shughuli za ziada za kuingiza kipato.Pia afya yangu huko ingedorora zaidi kwa kuwa ingenibidi kusafiri umbali mrefu kufata matibabu.

Nilichofanya nilimfata mkuu wa kazi ngazi ya mkoa,nikamweleza jinsi nitakavyoathiriwa na uhamisho kwenda vijijini.Pia nilimuomba aridhie ombi la mimi kuacha madaraka niliyokuwanayo,ili nibaki mtumishi wa kawaida.Lakini pia niliandika barua ya kuomba uhamisho kwenda kwenye kituo kingine hapa hapa mjini.Kipindi kile cha JK uhamisho ulikuwa umawezekana,sijui kwa sasa.
Kuna baadhi ya madaraka unayopewa kama mtumishi yanakuwa chanzo cha stress,na kikwazo kwenye utafutaji.Best wishes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…