supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaingia chuo anadai boss, staki kumharbia ndoto zake
Wakati nilipokuwa kijana mdogo nilikuwa nawaza kama wewe hivi ulivyosema. Ngoja niendelee kucheka mkuu umenikumbusha mbali.