Nifanyeje niache Punyeto?

Paka pilipili kwenye dushele kila ukumbukapo au tafuta kazi ili huwe busy



swissme
 

amesema like 7 years agoo
lem tell you ukiwa unaumwa kifua ukienda kwa dr anakwambia usile vitu vya baridi na mambo kama hayo haimaanishi miaka yote ulikua unakula ndo ukaumwa kigua
point yangu ni kwamba haimaanisha kwamba mpenzi wake kutokuepo let say kwa mwaka uliopita ndo kaanza haka ka mchezo
INAEZEKANA HAKAKUA KA KUBWA ILA KAWA ADDICTED JUZI KATI

SO KWA KUMTIBU NAMWAMBIA ATAFUTE NPENZI WA KUMGEGEDA KILA AKIPATA HAMU
HAIMAANISHA KUTOKUA NA MPENZI NDIO CHANZO

mi napika baadae
 
Last edited by a moderator:

Mwambie Akutafte Hata Wewe Uweze Kumsaidia
 
Dunia yako na chaguo ni lako... Kata hilo linalokusa7bishia utupie mbwaa wakaligegedee.
 
Tafuta mwana saikologia akushauri kwani punyeto niurevi kama sigara tafuta akushauri ili uludishe mawazo mapya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Niungane na wewe katika hoja zako,ila pia anatakiwa asiwe anaangalia move zenye maudhui ya mapenzi au hisia za kimapenzi,maana atakuwa anavuta picha afu anaende kufunga magoli ya mkono...
 
Mpaka unapata muda wa kujichua mara kwa mara inaoekana huna kazi. Tafuta kazi itakayokuweka kwenye heka heka muda mrefu, muda wa kujichua utakosa. Unaweza kuwa na mwanamke wa karibu, amabae ukihisi kushawishika kujichua unamkumbatia wewe ukiwa nyuma yake.
 
Jitahidi uache inawezekana, hakuna kinachoshindikana kama kweli ukiweka nia.

Na vile vile itasaidia bajeti za sabuni za kuogea kupungua
 
Niungane na wewe katika hoja zako,ila pia anatakiwa asiwe anaangalia move zenye maudhui ya mapenzi au hisia za kimapenzi,maana atakuwa anavuta picha afu anaende kufunga magoli ya mkono...

yaa hilo wazo zuri
 
Kikubwa akili na mawazo yako usiviruhusu kuwaza mapenzi/wanawake!
Jiwekee dhamira na kupambana na UDHAIFU huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…