Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,058
- 1,037
pole sana tafuta mpenzi alieko karibu uwe unakua nae mara kwa mara
kwa mfano weekend na pia usipate muda wa kua pekee yako angalia movie and the like
tembelea marafiki,pendelea kupika kitu ambacho hupenda zaid kwa kutumia program za kujifunza kupika fanya kitu ambacho unakipendelea
All these just for punyeto?
mi najua ukijiweka busy tu, jioni mazoezi mengi mengi, hapo ukiingia bafuni, wazo la nyeto litakuwa linapungua day after day!!!
Kijana acha kuangalia picha za ngono...............
Story za mapenzi mapenzi ziache kuanzia leo..........
kampani za ajabu ajabu zenye element za kugegedana, kwepa kabisa!
Acha kusikiliza nyimbo za mapenzi mapenzi wakati hauna mpenzi (@shy land alishasema huku ni kujiumiza)
Kuwa mtu wa kazi, panga ratiba za mishe zako kila wakati, punguza muda wa kuwa idle....
Pole kwa nyeto! kuacha si rahisi kama unavyofikiria, its a step by step assignment.
Jisogeze karibu na Mungu, utaishinda tu hiyo hali!!
Inabidi dhamira yakweli ya kutaka kuacha hilo jambo toka moyoni iwepo.
Usikae karibu na sabuni
Wadau wajukwaa hili niko mbele yenu kuomba ushauri nijinsi gani naweza kuachana na punyeto.nilianza mchezo huu nikiwana namiaka 22 mpaka sasa Ni mwaka wa7 na mpaka sasa nimeshindwa kuachana nao.kibaya zaidi punyeto imepunguza sana nguvuzangu za kiume,kwani kuna siku nilikutana na mchumba wangu ambae yuko mbali namimi nikashindwa kabisa kufanya mapenzi kwani usiku mucha nilienda Mara moja2.ushauri wako ni muhimu.
AMESEMA ANA MPENZI ALIEKO MBALI
kwanini unamshauri usisikilize nyimbo za mapenzi wakati huna mpenzi
NAPINGA HILI jaamaa anae sema yuko mbali ila mimi nimemshauri atafute mpenzi alieko karibu
UNASEMA ASIWAZE MAPENZI(MAPENZI MATAMU BWANA NA HATA KUGEGEDANA UKIMPATA MTU MKAPENDANA)
Mimi sio muumini wa long distance relations kwa hiyo namshauri jamaa apate mpenzi akisikia hamu tu anaenda kwake au anamuita from time to time hamu yote itaisha ya kutumia mkono
SIKUSHAURI UMUACHE MPWNZI WAKO hili pima mwenyewe