Nipo likizo tunafungua chuo mwezi wa tatu. Nilianza chuo kwa shamra sana na nguvu za kusoma lakini baadaye hali ilibadilika ghafla ya kukata tamaa na kuendelea kusoma lakini licha ya kuwa ivyo mitihani nikifanya nafaulu sana na nilikuwa nikisoma sana kutokana na hali ilokuwa inanijia mana niliona nikizembea nitafeli mitihani semista ya kwanza masomo yapo matano nikapata A mbili B tatu semista ya pili hivyo hivyo nikapata A mbili B tatu.
Sasa wazo tu linanisumbua la kuacha chuo ila mwenyewe staki kuacha chuo kwani ada ipo. Nataka niji-force tena kwenda shule labda hii hali itafika itapotea; inaniumiza sana nakosa sana raha kwani siwezi biashara yoyote nategemea elimu ije inisaidie baadaye.
Naungana na mchangiaji aliyeanza hapo juu. Hali kama hiyo ni common sana kutokea hasa kwa mtu aliyejikuta anasomea fani ambayo hakuipenda aidha kwa kushurutishwa au kwa kuamua mwenyewe baada ya kukosa alternative.
Hali hiyo huathiri sana performance hasa kwa semester ya kwanza na huenda ikaendelea kwa semester sitakazofuatia kama hutaweza kukabiliana nayo.
Ushauri fanya maamuzi thabiti. Aidha kufanya unachokipenda au kuamua kukubaliana na fani unayoisomea na kuweka mawazo mengine kando mpaka utakapo maliza chuo.
NB: Kumbuka kuwa muda unaenda kasi sana, hivyo wapaswa kufanya maamuzi mapema la sivyo utajikuta miaka yako ya kuwa chuo itaisha performance haijawa nzuri na hujafanya kitu chochote cha msingi.
Sijawahi waza kitu kingine mi nilivyoon iv nimezunguka nimeambiwa nina jini ndo linanipa mawazo hayo! Wamenitoa jana lakini naona hali bado ila mi ukifika mda wa chuo ntajilazimisha tu kwenda had nimalize japo napata wakati mgumu sana
Sijawah waza kitu kingine mi nilivyoon iv nimezunguka nimeambiwa nina jini ndo linanipa mawazo hayo! Wamenitoa jana lakini naona hali bado ila mi ukifika mda wa chuo ntajilazimisha tu kwenda had nimalize japo napata wakati mgumu sana